Xtra Thinking
Member
- Jun 3, 2025
- 39
- 84
Shukrani, kwa nini unasema hivyo
CoET ulisoma kozi gani ya Engineering mkuu?Km hujapita COET wee ni luzaaaa.
ππππππ
Wee nenda COET kapige uhandisi wako unao utaka, au points hazitoshi kuwa pale?CoET ulisoma kozi gani ya Engineering mkuu?
Nina Division II ya 10, sidhani kama naweza kwenda CoET mkuu, ila nilikuwa natamani sana UDSM, sasa na Div II siwezi kwendaWee nenda COET kapige uhandisi wako unao utaka, au points hazitoshi kuwa pale?
πππππ
Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering
Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake wanaheshimika sana
Sasa naomba kuuliza kati ya Arusha Technical College na Mbeya University of Science and Technology, chuo kipi kina hadhi kubwa zaidi kwenye
mechanical engineering Atc wapo vzr zaidi kuliko must
Nenda dit mkuu utapata paleNina Division II ya 10, sidhani kama naweza kwenda CoET mkuu, ila nilikuwa natamani sana UDSM, sasa na Div II siwezi kwenda
Wewe ulipata Div ngapi ulivyoenda CoET?