ATC kuzuiwa kutumia anga la nchi za EU, vyombo vya habari vimezibwa mdomo tena?

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
 
You know playbook ilivyo, if news inachafua image, act blind or usitangaze
 
No freedom of press
 
Hv kumbe ndege zetu zimeshaanza safari za Ulaya, safi sana ni hatua nzuri hata kama wamepigwa pin
 
Nipanda Air Tanzania majuzi from Nairobi to Dar. Imagine AirTanzania pekee ndio ndegee pekee iliyo delay for two hours bila sababu ninazozijua. Ilitakiwa tuondoke saa nne unusu tukaondoka saa 7 kasoro from Nairobi.
Shirika linatia wasiwasi ila japo tunalipenda sana.
 
You know playbook ilivyo, if news inachafua image, act blind or usitangaze
Kwenye nchi zenye demokrasia na uhuru kamili huwezi kuficha habari yeyote. Kazi ya vyombo vya habari ni kufichua habari zilizofichwa. Soma gazeti kama NewYork time etc.
 
Hv kumbe ndege zetu zimeshaanza safari za Ulaya, safi sana ni hatua nzuri hata kama wamepigwa pin
Hapana, sio kweli kuwa ATCL ina safari za ulaya bali ina mpango na inawania kupata kibali cha safari za ulaya.
Wenye anga yao huko ulaya wamegundua kuwa ATCL yetu haikidhi viwango wanavyovitaka wao. Tuendelee tu kwenda China India na uarabuni.
 
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
No worries, Panga Boi letu linaendea Bombay na Uchina
 
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
Balaa za Tanzania kwenye jumuiya ya kimataifa zingekuwa zinatangazwa zote watanzania wengi wangehama nchi!
 
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
Tz hakuna wanahabari wote ni machawa ukianza na paskali
 
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe udanganyifu wa watawala hauishii kwenye uchaguzi tu
Kwani wewe umezitoa wapi hizi habari..?

Kama hivyo vyombo vya habari vitaandika taarifa hiyo kwa style ya ulivyoandika wewe, hakika vitaonekana ni vyombo vya uzushi tu...

Mimi nilifikiri kuwa, kwa kuwa wewe umeona na kuthibitisha habari hiyo, ndiyo ilikuwa fursa kwako kuileta ukiwa na evidence mkononi maana hata JF ni chombo cha habari tena kikubwa & reliable kuliko redio au TV stations nyingi...
 
Wewe utakuwa ni chawa mzoefu, unatetea hata ujinga kwa hoja za kijinga
 
Back
Top Bottom