el_magnefico JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 495 Reaction score 575 Oct 27, 2020 #21 Chief said: Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo? Click to expand... Tatizo nini
Chief said: Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo? Click to expand... Tatizo nini
Alvajumaa JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 5,039 Reaction score 6,253 Oct 27, 2020 #22 rich1 said: Duuuuu.....inamaana Naul ya ATC ipo juuu kuliko precision Click to expand... Ndio mkuu, ingia online uone Mpk nimewamis fast jet, naamini wangekuwepo wao hizi bei zingepungua
rich1 said: Duuuuu.....inamaana Naul ya ATC ipo juuu kuliko precision Click to expand... Ndio mkuu, ingia online uone Mpk nimewamis fast jet, naamini wangekuwepo wao hizi bei zingepungua
rich1 JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,020 Reaction score 3,309 Oct 27, 2020 #23 Alvajumaa said: Ndio mkuu, ingia online uone Mpk nimewamis fast jet, naamini wangekuwepo wao hizi bei zingepungua Click to expand... Kama ukiwah kupanda ndege kupitia fast jet ndo basi tena.
Alvajumaa said: Ndio mkuu, ingia online uone Mpk nimewamis fast jet, naamini wangekuwepo wao hizi bei zingepungua Click to expand... Kama ukiwah kupanda ndege kupitia fast jet ndo basi tena.