el_magnefico
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 495
- 575
Tatizo niniHuoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo niniHuoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo?
Ndio mkuu, ingia online uoneDuuuuu.....inamaana Naul ya ATC ipo juuu kuliko precision
Kama ukiwah kupanda ndege kupitia fast jet ndo basi tena.Ndio mkuu, ingia online uone
Mpk nimewamis fast jet, naamini wangekuwepo wao hizi bei zingepungua