ATC tahadhari: Ndege isiporuka muda mrefu kuna hatari!

Mkuu ushauri wako ni mzuri Kama ungeangukia sikio linalosikia, mara kadhaa hao waliotoa ushauri huo hutoa tahadhari mbalimbali ambazo huwa zinatuhusu sisi moja kwa moja, matokeo yake huwa ni nini?
 
From engineering point of view..

Engine yeyote ambayo haijawasha kwa muda, haizuii kutofanyiwa service and inspection...kama haijawashwa maana yake unaweza ukafanya service kwa kuangalia siku maana huwa kuna option mbili, either recommended service hrs or days whichever comes first..

Naamini zipo test zakufanya kwenye ndege kama hairuki na inategemea kutoruka kwa kipindi fulani..test hizi hufanyika kwa muda fulani kujiridhisha na operation zote zipo ok, oil and fuel circulation iko ok na abnormalities nyinginezo..

Kama ni alert imetoka kwa manufacturer fulani basi inawezekana huyo manufacturer anajua kitu kuhusiana na hiyo bidhaa ambacho labda ni very techical from design point of view, lakini kwa kawaida sio issue na all engineers wanajua nini cha kufanya mtambo ukiwa umesimama muda mrefu..

Kwa mawazo yangu, sidhani kama boeng wana issue yeyote ya maana zaidi ya kutengeneza mazingira tu ya kupiga inspection fee na kutengeneza business, kitaalam sidhani kama kuna kitu special labda kama hao KQ waliyapark tu bila kuwa wanafanya routine check up za kitaalam zikiwa zimepark na yapo kweli madhara kama you dont check, sensors zinaweza kupata unyevu zikashindwa kufanya kazi vizuri, tanks za mafuta zinaweza kupata condensation na kuleta shida kwenye mifumo kwa maana ya maji na kutu, wadudu na ndege wanaweza kujenga viota, nchi za baridi ni hatari zaidi kunaweza kutokea freezing..nk nk nk..
 
Very Well Said(mazingira ya kupiga inspection fee)kufa kufaana[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom