KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Nahisi route pekee isiyo na mbambamba sana ni Dar Dom Dar
Na sababu hapa zinajulikana
Kwingine kote ni vilio
Na sababu hapa zinajulikana
Kwingine kote ni vilio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mashirika ya umma hayana uchungu na mtaji wa liowekeza.Kwani Ttcl is performing? Ni yale yale
Duh..pole sana aisee!Mlete mada umenigusa kabla sijasahau machungu ya juzi kupangiwa ndege sa 11 jioni halafu tukaja kuondoka sa 9 usiku, nafika home asubuh watu wanaenda kanisani misa ya kwanza
Bado tu serikali ndiyo inabeba lawama. Kuna namna wanaweza kufanya kuepukana na hili. Wabadilishe namna wanavyotoa ajira na mikataba yake ili kupata ufanisi. Oppss nimesahau....kumbe viongozi wa serikali hiyo hiyo ndiyo wanafanya hizi njama...Mambo mengi ya serikali yanafelishwa kwa maksudi na baadhi ya watu wenye ushirikiano na sekta binafsi ili mradi ufe halafu sekta binafsi wapate mwanya na wanapewa percent kwenye kufanikisha hilo ipo mifano mingi watu wanaua mashirika ya serikali kwasababu wana mashirika yao binafsi wana ubia nayo na wapo very smart kwenye hilo.