Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi,
Last week nilikuwa UAE 🇦🇪 Dubai, nilitumia usafiri wa ATCL kwa mara ya kwanza.
Mambo matano ya hovyo niliyashuhudia.
Mosi Wahudumu ni wazee na wana miili mikubwa kama Mama Ntilie.
Pili ATCL hawana connection nzuri ambayo ipo lakini kwa ujinga, ushamba, upumbavu hawaioni au hawataki kuitumia. Mfano ni kwanini ATCL wanawalenga abiria wa Dar wakati wangeweza kutengeza connection nzuri na kubwa ya abiria wa Zanzibar, Mwanza, Kilimanjaro & Mbeya au Dodoma.
Tatu ATCL hawana vinywaji standard mfano wine 🍷 ya image haina viwango ukiinywa utafikiri unakunywa dawa ya kuharisha.
Nne matangazo yao kupanda ndege Dubai Airport ni kingereza, kifaransa, kireno hakuna kiswahili. Wenzetu Ethiopia wanatangaza lugha yao sisi tunazubaa zubaa.
Tano bei tiketi nje ya Dar ni ghali sana kupita kiasi ATCL mkiendeleza huu ujinga unaofanyika katika ofisi zenu mnaenda kuanguka mapema.
Ngongo kwasasa Katavi.