Ni ukweli usiopingika kuwa wafanyakazi weengi wa serikali hawapo business oriented. Ni wazembe, wavivu kufanya kazi na kufikiri.Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.
Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.
Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.
Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.
Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.
Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Na hivi ni mtu asiyependa kushindwa na anajua aibu yote ya atcl ni yake yeye, ataendelea kuwachotea hela tu..Mkuu ndiyo matatizo ya kutaka kufanya mambo KIENYEJI kwa kulazimisha tu bila kusikiliza maoni ya wengi.
Tangu mwanzo wengi tulisema biashara ya ndege ni ngumu sana na mashirika mengi duniani yanapata hasara kubwa sana mengine HUFA na mengine huamua kuingia kwenye partnership na mashirika mengine.
Pia tukasema kwamba kutokana na vipato vidogo vya Watanzania wengi basi wenye uwezo wa kusafiri na ndege hawezi 5% ya Watanzania wote.
Ukiweka na haya madudu mengine kama alivyoandika Malisa basi unaona tulichokisema kinakuwa kweli. ATCL inaendeshwa kwa hasara kubwa sana ya mabilioni na hiyo ruzuku wanayopewa na Serikali haina return yoyote kwa walipa kodi.
Ni mpaka lini ATCL itaendelea kutumia billions za walipa kodi huku ikiendelea kuingiza hasara kila quarter tena ya mabilioni?
Ishiiiiiiii! Hivi una akili kweli? Hizo irregularities zote alizoandika Malisa umeona hazifai kuandikwa kwenye hii platform? Yaani Negligence of that degree🤔🤔🤔 unakosea majina bado unapga mikwara mbuzi kwa passengers,wakati nauli yenyewe sio ya kiushindani,tunawasema ili wajirekebishe wewe unazuia!!!!!!! Mara Mkapa mara sijui Nini,ulisikia wapi marehemu anasemwa vibaya? KWANI LAZMA U COMMENT?Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.
Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.
Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.
Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.
Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.
Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.
Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.
Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.
Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.
Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.
Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Mawazo yako yanadilute uzi. Nampongeza Malisa kwa uzi wa kujenga. Uzi wake lazima ufike kwa Bose waoMkuu ndiyo matatizo ya kutaka kufanya mambo KIENYEJI kwa kulazimisha tu bila kusikiliza maoni ya wengi.
Tangu mwanzo wengi tulisema biashara ya ndege ni ngumu sana na mashirika mengi duniani yanapata hasara kubwa sana mengine HUFA na mengine huamua kuingia kwenye partnership na mashirika mengine.
Pia tukasema kwamba kutokana na vipato vidogo vya Watanzania wengi basi wenye uwezo wa kusafiri na ndege hawezi 5% ya Watanzania wote.
Ukiweka na haya madudu mengine kama alivyoandika Malisa basi unaona tulichokisema kinakuwa kweli. ATCL inaendeshwa kwa hasara kubwa sana ya mabilioni na hiyo ruzuku wanayopewa na Serikali haina return yoyote kwa walipa kodi.
Ni mpaka lini ATCL itaendelea kutumia billions za walipa kodi huku ikiendelea kuingiza hasara kila quarter tena ya mabilioni?
Jiwe ana roho ya uharibifu!Mkuu ndiyo matatizo ya kutaka kufanya mambo KIENYEJI kwa kulazimisha tu bila kusikiliza maoni ya wengi.