SIMPLY RUBBISH!
Rubbish that you are mbumbumbu na hutaki kujielimisha au rubbish because you can't make sense out of the Ambassador response kutokana na knowledge yako?
Hahahahaha huyo balozi MPUUZI aliyenyangβanywa mke aje kunielimisha mimi?
Hebu toa UZWAZWA WAKO hapa. Angekuwa na akili timamu asingelubali kuporwa mke na kuzalishwa nje ndoa.
Ilikuwa lini mkuu?ATCL bado sana. Niliwahi kupata shida nikawaandikia barua copying MD. Sikujibiwa hadi kesho
Ndio maana nakuita mbumbumbu BAK. Wewe umeleta thread au kuanzisha based on Malisa sensationally write up. Sasa badala ya kutetea thread yako nakuonyesha au kulisimamia hili uliloleta unaanza character assassination ya counter submission. Which proves my point kuwa wewe ni mbumbumbu. Ni vyema ukakaa kimya. Ningefurahi mbumbumbu mwenzako Malisa aje tuongee kuhusu hili.
itβs okay for you to do character assassination but itβs not okay for BAK to do the same thing! ππππππ hebu nitolee UZWAZWA wako hapa.
Kwani ni uongo hukunyangβanywa mke na hakuzalishwa nje ya ndoa na huyo mtu wa chato!? Kapiganie kwanza mkeo kabla hujaporwa moja kwa moja.
March 2020Ilikuwa lini mkuu?
ππππππ kunywa maji barrrrridi kisha utulizane kwa robo saa ili povu unalomwaga litulie.
Umeifuatilia hiyo ishu tena au basi ndio umezila? Ingekuwa mimi ningewalima barua nyingine na e-mail kwa MD maana e-mail zao zipo open to the public. Kwa maoni yangu unapotoa malalamiko lazima uyafuatilie maana ukikaa kimya na wao wanakaa kimya, nafikiri na sisi Watanzania tuwe na tabia ya kufuatilia kero zetu maana kila moja akikaa kimya ndio wanaona sawa na kuendelea na tabia yao ya kutokujibu. If I am not mistaken kwenye code of conduct wanatakiwa wajibu baada ya siku kadhaa, if possible remind them of their own procedures.March 2020
9 of July nilikuwa nataka ticket ya kusafiri kesho yake to Dar, nikawa nafanya booking online nikikaribia mwisho inacancel naanza upya, nikachoka nikapiga simu huduma kwa wateja almost mara 4 hawapokei, ikabidi niache kazi zangu nifate ticket ofisini Dom! Sio kwa ubaya shirka letu hili wanapaswa wakaze buti sana, plus flight fare sio rafiki kabisa.
Fare rafiki ni zipi? Hii ni ndege bwashee. Ndege gharama tusidanganyane a 50 minutes travel to Dom against 10 hours? Tuwe serious.
This is the only thing you are capable. Acha uongo