Mkuu embu tuwekane sawa kidogo.Naam lakini ATCL Watanzania wengi tulitoa onyo kwamba kwanza si kipaumbele cha Watanzania kwani ni usafiri wa gharama kubwa sana na ni 5% tu ya Watanzania wanaoweza kumudu gharama zake hivyo kusababisha hasara kubwa sana. Na hilo limekuwa kweli imagine hiyo 2 trillions ingeelekezwa kwenye vipaumbele vingine vya Taifa.
I had to look for an alternative. Kuna mtu ilibidi atumwe na kwenda physically. Hawa watu sijui hata kama huwa wanasoma emails.Umeifuatilia hiyo ishu tena au basi ndio umezila? Ingekuwa mimi ningewalima barua nyingine na e-mail kwa MD maana e-mail zao zipo open to the public.
Mkuu mmechukua kikombe kiulaini mwaka huu basi ni shida . .... ..... hongereni kwa kunyakua EPL for the first time.Mkuu embu tuwekane sawa kidogo.
Hivi ni kweli unafikiri lengo (target) ya ATCL ni abiria raia wa Tanzania pekee?
Acheni hizi siasa za kitoto, kuna mengi tu ya kuikosoa serikali au Magufuli lakini si kwa hoja za kitoto kama hii.
Watu kama nyie ndio mkuu anawapenda sana....hamchambui vitu kwa logic bali kwa kufuata kile kinachoitwa uzalendo na kusifianasifiana.......safi sana mkuu!Inafaa muda mwingine kunyamaza. Sio kila kitu kinaweza kuwa ni makosa au ni kosa la kuzungumziwa sababu wote tunamapungufu kama alivyo mtu mwingine yeyote including the president Magu.
Tatizo mnamsimanga lakini katika mengi aliyofanya Magu kwa muda mchache nyie wenywe hamuwezi kufanya.
Magufuli, anayo speed, anataka speed na anaenda kwa speed.
Mnasubiri siku ndio mmkumbuke au afe ndio mmkumbuke. Hata Mkapa mlisema sana. Amekufa ndio mnasema alikuwa genius sijui nini.
Atcl haitakufa labda mfe nyinyi. Mungu ataendelea kubariki kazi za muheshimiwa RAisi Magufuli na utawala wake katika kuinua Tanzania na watanzania walio maskini.
Nyinyi ndio moja ya wale mijitu inasubiri Magufuli aondoke muendlee kufanya yenu. Kuiba, ufisadi ndio mnavyoviwaza.
Mkuu embu tuwekane sawa kidogo.
Hivi ni kweli unafikiri lengo (target) ya ATCL ni abiria raia wa Tanzania pekee?
Acheni hizi siasa za kitoto, kuna mengi tu ya kuikosoa serikali au Magufuli lakini si kwa hoja za kitoto kama hii.
Hizo ndio changamoto kwenye nchi kama Tanzania ambayo inataka kuondoka kwenye umasikini. Just imagine UK wana kama 500 years kuweka mikakati ya kuwa wanafanya mambo yao kama gurudumu (BTW usisahau kwenye hiyo miaka wamekuwa na kipindi kirefu wanatumia cheap labour na kuzikamua nchi za Afrika na dunia nzima). Tunahitaji na sisi tufike huko tukianza na sisi wenyewe. Kwanza kuhakikisha IT network ya uhakika pili vijana ambao wanafahamu kutumia IT nk. Mimi nafahamu bado kazi kubwa inatakiwa kufanywa lakini hatuwezi kulialia na kutegemea uncle kutoka nje aje atufanyie. Change must begin with us.I had to look for an alternative. Kuna mtu ilibidi atumwe na kwenda physically. Hawa watu sijui hata kama huwa wanasoma emails.
Kwa reputation gani waliyokuwa nao ATCL hadi wasio Watanzania wasafiri nayo? Poor and very bad services ANY TIME CANCELLATION and you think travellers from other nations will be attracted to travel with ATCL?
Wasafiri wa ndege wengi HAWAKURUPUKI wanapotaka kusafiri na ndege huenda online kuangalia reputation ya shirika husika na kama wanaona madudu wanaliepuka.
Kwa hivyo unataka kuniambia abiria wote wa route ya Mumbai (To-And-Fro) ni raia wa Tanzania pekee?Kwa reputation gani waliyokuwa nao ATCL hadi wasio Watanzania wasafiri nayo? Poor and very bad services ANY TIME CANCELLATION and you think travellers from other nations will be attracted to travel with ATCL?
Wasafiri wa ndege wengi HAWAKURUPUKI wanapotaka kusafiri na ndege huenda online kuangalia reputation ya shirika husika na kama wanaona madudu wanaliepuka.
Wacha uongo mimi anytime ATC wanapoanza safari za Europe sitatumia KLM wala Turkish Airways au Emirates pamoja na Qatar airways au Rwandair. Lazima nipande pipa letu no matter what. Charity begins at home.Kwa reputation gani waliyokuwa nao ATCL hadi wasio Watanzania wasafiri nayo? Poor and very bad services ANY TIME CANCELLATION and you think travellers from other nations will be attracted to travel with ATCL?
Wasafiri wa ndege wengi HAWAKURUPUKI wanapotaka kusafiri na ndege huenda online kuangalia reputation ya shirika husika na kama wanaona madudu wanaliepuka.
Rais JPM anajitahidi kufufua shirika letu la ndege lakini namna linavyojiendesha ni tatizo. Tusipopiga kelele litakufa tena na juhudi za kulifufua zitakuwa zimehujumiwa.
Muhula wa masomo China umemalizika. Wanafunzi waliohitimu wanarudi makwao. Nchi nyingi zinachukua wanafunzi wake kwa ndege zao or any other chattered flights.
Serikali yetu imeamua kuchukua watu wake kwa ndege yetu ya Dreamliner ambayo imeondoka leo saa kumi jioni (one way, kutoka Guanzhou mpaka JNIA, Dar)
_
Lakini zoezi hili limekuwa na kasoro nyingi. Moja ni gharama kuwa juu karibu mara mbili kulinganisha na mashirika mengine. Lakini wamelazimika kulipa kwa sababu serikali imezuia kurudi kwa ndege nyingine isipokua ATCL kwa kile kinachoitwa Uzalendo.
Pili, mwezi mmoja uliopita wahitimu walitakiwa kutuma nakala za passport zao ili waandaliwe tiketi. Wakatuma na wakawa wanasubiri itinerary ili kupewa tiketi.
Juzi wakapokea ujumbe kutoka Ubalozi wetu China, kwamba ATCL imefanya makosa mengi kwenye tiketi. Wamekosea spelling, Lulu Kicheere ameitwa Lulu Kicheche. Wamekosea jinsia, John kaandikwa Female na Prisca Male. Wamekosea tarehe za kuzaliwa. Kuna waliozaliwa 1890 kabla ya vita vya Majimaji. Wamekosea mpangilio wa majina na makosa mengine mengi.
ATCL walipotakiwa kufanya marekebisho walidai muda uliobaki usingetosha kurekebisha makosa yote. Kama walipewa mwezi mzima wakafanya makosa mengi hivi, wangewezaje kurekebisha kwa siku mbili.
Kwahiyo ubalozi wetu China ikabidi uandae orodha ya majina itakayotumiwa na wasafiri. Jana Ubalozi umesema ticket za ATCL hazitatumika kama kigezo pekee cha kusafiri bali abiria watahakikiwa kupitia orodha ya majina iliyoandaliwa na ubalozi huo.
Jiulize, hivi tupo serious na biashara ya usafiri wa anga? Kama mwezi mzima ATCL wameshindwa kuandaa tiketi, tena kwa safari moja, je safari zikiwa kila siku itakuaje? Tumebaki kusifu idadi ya ndege, kumbe hatuna uwezo hata wa kuandaa tiketi? Leo watu wanapanda ndege kama daladala? Hakuna hata boarding pass, unakaa siti yoyote iliyo wazi kama mabasi ya Bukene Nzega. Aibu gani hii?
Kumbuka Nyerere aliacha shirika likiwa na ndege nyingi sana, lakini likafilisika kwa sababu ya management mbovu. Sasa tunarudi kulekule?
Malisa GJ
Jameni wakati hayo ya kiendelea na huko katika ujenzi wa SGR hali si shwari hata kidogo ktk LOT 1 yaani kipande kinachoanzia Dar es Salaam hadi Morogoro. Mkandarasi yaani YAPI MERKEZ ameishiwa pesa ambapo kwa sasa anadaiwa pesa kila kona hasa Wakandarasi wa Ndani ambao walimpatia YAPI MERKEZ magari na mashine na vifaa vingine mbalimbali kwa ajili ya ujenzi huo lakini Wakandarasi hao wanadai fedha kibao hawajalipwa kwa zaidi ya miezi saba sasa.
wakati huo huo YAPI MERKEZ amebandika tangazo kwamba Wafanyakazi wake watapokea mshahara nusu mwenzi huu wa saba. kwa kweli hali si shwari hata kidogo na hao Wakandarasi wanatarajia kumpeleka mahakani na kumshitaki Serikalini kupitia Wizara ya Ujenzi.
Wakati wowote mambo yatalipuka ya madeni anayodaiwa YAPI MERKEZ.
Kwa hivyo unataka kuniambia abiria wote wa routre ya Mumbai (To-And-Fro) ni raia wa Tanzania pekee?
Huyo mzungu aliepiga picha tairi kipara la ATCL ni raia wa Tanzania?
Kuna mambo lazima tufikiri mara mbili kabla ya kuandika au kuyasema. Tusikariri mambo ya zamani na kufikia jumuisho kwamba hadi sasa bado yapo hivyo hivyo kama zamani, mfano hoja ya ANY TIME CANCELLATION.
Tusikosoe vitu vya ajabu tukaonekana tuna chuki tu na watu flani kwa sababu zetu binafsi. Uzushi, visasi na majungu ni aibu kwa mtu makini.
Ethiopian Airlines imewezaje kufikia kujiendesha kwa faida?ATCL inaendeshwa kwa hasara kubwa sana na haitakuja kuendeshwa kwa faida hata baada ya miaka 15 ijayo.
Biashara ya usafiri wa anga ni ngumu sana na mashirika mengi duniani yanauzwa, kufa au kuingia kwenye ubia
ATCL haina ubavu wa kushindana na mashirika mengi duniani hivyo hasara zitaendelea mwaka hadi mwaka ni lini sasa Serikali itasema hizi ruzuku sasa imetosha!?
Kama Serikali HAIFICHI madudu na uozo ATCL kwanini CAG anazuiliwa kukagua gharama za kununua ndege na uendeshaji wa shirika hilo kinyume na utaratibu husika!?
Msiukimbie ukweli kuhusu ATCL, hilo shirika ni bomu na litaendelea kuwa bomu kwa miaka mingi ijayo kama Serikali haitastuka mapema.
Kwa hivyo unataka kuniambia abiria wote wa route ya Mumbai (To-And-Fro) ni raia wa Tanzania pekee?
Huyo mzungu aliyepiga picha tairi kipara la ATCL ni raia wa Tanzania?
Kuna mambo lazima tufikiri mara mbili kabla ya kuandika au kuyasema. Tusikariri mambo ya zamani na kufikia jumuisho kwamba hadi sasa bado yapo hivyo hivyo kama zamani, mfano hoja ya ANY TIME CANCELLATION.
Tusikosoe vitu vya ajabu tukaonekana tuna chuki tu na watu flani kwa sababu zetu binafsi. Uzushi, visasi na majungu ni aibu kwa mtu makini.
ATCL inaendeshwa kwa hasara kubwa sana na haitakuja kuendeshwa kwa faida hata baada ya miaka 15 ijayo.
Biashara ya usafiri wa anga ni ngumu sana na mashirika mengi duniani yanauzwa, kufa au kuingia kwenye ubia
ATCL haina ubavu wa kushindana na mashirika mengi duniani hivyo hasara zitaendelea mwaka hadi mwaka ni lini sasa Serikali itasema hizi ruzuku sasa imetosha!?
Kama Serikali HAIFICHI madudu na uozo ATCL kwanini CAG anazuiliwa kukagua gharama za kununua ndege na uendeshaji wa shirika hilo kinyume na utaratibu husika!?
Msiukimbie ukweli kuhusu ATCL, hilo shirika ni bomu na litaendelea kuwa bomu kwa miaka mingi ijayo kama Serikali haitastuka mapema.
Mkuu huyo hawezi kufikiria nje ya box! Ulishamwona mwanasaccos anafikiria nje ya box?ATCL hawawezi kupata faida baada ya mwaka wa kwanza au wa pili baada ya kuanza kazi. FYI mashirika mengi ya ndege hayafanyi kazi kupata faida bali ni service kama unavyoona Hospitali, Mashule nk. British Airways hawapati faida bali ni reputation kwa nchi yao. KLM etc. Hata Emirates hawapati faida kama unavyofikiria. Ni mashirika machache sana duniani ya ndege yanayofanya hiyo biashara kwa faida. Virgin Airways na galactica yake alikuwa anabebwa na UK Government etc. Kinachotakiwa ni kuona hiyo service itawasaidiaje Watanzania kuweza kufanya mambo mengine makubwa zaidi kwa urahisi. Fikiria nje ya box.
Acha siasa zako be objective. πππ
Hata haueleweki!!Mie SIKURUPUKI ATCL ni π£ mwacheni CAG aanike UOZO tangu kununua hizo ndege za trillion 2 na uendeshaji wake badala ya kumwaga ruzuku za mabilioni pesa za walipa kodi huku mkijiita wazalendo. Uzalendo wa kuficha ukweli wa yanayojiri ndani ya ATCL si uzalendo bali ni UHUNI, WIZI na UFISADI
Na serikali zote za ccm zinajulikana kwa kashfa kubwa sana za WIZI na UFISADI kuanzia EPA, IPTL, KIWIRA, Meremeta, Richmond/Dowans etc na hii ATCL endeleeni kuficha WIZI NA UFISADI kwa kumzuia CAG asikague financial statements.
Unadhani ni kwanini huyo aliyekupora mke JIWE alitaka sheria imkinge ili asishtakiwe kwa maovu yake akiwa madarakani?
Fungua akili yako wewe acha kutetea UZEMBE, WIZI na UFISADI halafu nenda kachukue mke wako ACHA WOGA!
Mkuu Marashi ,ungepiga picha na kuipeleka kwa Mh. JPM,hakika ungekuwa mzalendo halisi,maana nina imani hatua kali na stahiki zingechukuliwa.Nilisafiri sana kwa mashaka. Ila hiyo ndo ukweli wenyewe. Nilitaka kupiga picha lakini kwasababu ya uzalendo na nilikaa jirani na kiongozi flan katika moja wapo ya mashirika ya umma nchini
Mkuu,wewe ni yule binti wa Masoko ambaye huna uwezo wa nafasi hiyo? Yule ambaye ana "walk" na babayake profeseri?Ww nimekugundua ni mpuuzi mmoja tu yn reference yako ni Jf? Hyo hasara umeitolea wapi wkt statement of comprehensive Income ya Atcl ina mda hawajaifanyia disclosure umepata wapi kujua km the corporation has been operating under a loss? Hata kama ina operate under under a loss hyo ni kitu tunachotegemea cz tng walifufue shirika limekuwa likilipa madeni yaliyopita yn limekuwa likipunguza madeni so kwa mtu yeyote makini hawezi kutegemea profit kwa Atcl recently.
But all in all shirika lipo linapiga kazi na ndege zinazd kuongezeka hvyo basi kwenu ninyi wanasiasa itawawia vigumu sana kipindi hiki cha huyu mzee cz hataki siasa nyingi kwenye kazi ambapo inawapelekea muwe na wakati mgumu mno cz siasa ndiyo kazi yenu.
Halafu wana sera yao fulani ya "ticket refund". Eti huwezi kupata refund mpaka miezi sita ipite ndiyo uanze kufuatilia hiyo refund yako.Nasimama na mleta mada. Pamoja na juhudi kubwa za Mh. Rais za kufufua shirika letu la ndege, kama uongozi na wafanyakazi wa ATCL hawatafanya kazi kwa weledi shirika litakufa. Uzembe ni lazima ukemewe. Tuache kuendekeza uzembe kwa kigezo cha 'mapungufu ya kibinadamu'.