ATCL bado washikilia kwamba watarudi South siku vurugu za mitaani zitaisha kabisaaaa!!!

ATCL bado washikilia kwamba watarudi South siku vurugu za mitaani zitaisha kabisaaaa!!!

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hadi siku wataskia hamna vurugu mitaani kule South ndio watarudi, yaani pasiwe hata na tukio moja la vurugu kitaani.
Wazulu na Waxhosa watu wabaya sana yaani makajamba wa mitaani wana uwezo kutia ndege za ATCL shaba na kuacha Emirates, KQ na wengine.
cc: Mkulima
-----------------------------------------

Dar es Salaam. Two weeks after Air Tanzania Company Ltd (ATCL) announced that it had suspended flights to South Africa, the national carrier has continued to keep travelers in suspense on the resumption date.
Speaking in Dar es Salaam today, September 19, ATCL’s managing director Ladislaus Matindi said they would only resume flights to Johannesburg after government is fully satisfied that xenophobic violence has ended totally.
 
Hiyo ni lugha ya kidiplomasia tuu.

Haiwezekani nchi iruhusu mtu yeyote ambaye siyo hata raia afungue kesi kuzuia ndege, aharibu biashara halafu tuangalie tuu.
 
Hiyo ni lugha ya kidiplomasia tuu.

Haiwezekani nchi iruhusu mtu yeyote ambaye siyo hata raia afungue kesi kuzuia ndege, aharibu biashara halafu tuangalie tuu.

Ndio changamoto kwenye nchi zinazoheshimu utawala wa sheria, hutia hasira sana maana mahakimu hawaelekezwi wala kupelekeshwa kwa simu za kutokea ikulu.
Hivyo sasa mumeamua hamtakusanya mapato ya ruti nzima ya SA kama njia moja ya kuwakomoa hao Wasouth na mkulima wao.....hehehe
 
Hivyo sasa mumeamua hamtakusanya mapato ya ruti nzima ya SA kama njia moja ya kuwakomoa hao Wasouth na mkulima wao.....hehehe
Hilo suala ni kubwa zaidi unavyodhani, kuna figisu nyuma ya pazia.

ATCL (zamani ATC) ilikuwa na ubia na SAA airways wakaunda kampuni moja na shirika la Uganda kutengeneza Alliance air.

Makaburu wakiwa na share nyingi wakamiliki ruti zetu zote za nje na wakachukua vifaa vingi kwenye karakana yetu ya KIA, kiufupi ilikuwa ni hujuma. Alliance ikafa, wasauz wakaendelea na shirika lao, ATC ikawa kwenye mawe kwa miaka mingi mpaka Magu alipoingia madarakani.

Sasa kibao kimebadilika, SAA inachechemea, sisi ATCL imefufuka, jamaa walikuwa wanategemea sana ruti ya kuja Dar. Sasa kwa ndege zetu mpya wao biashara inadoda, ndo hapo visababu vya mkulima kutudai vinakuja.
 
So kwa kuachia ruti mnakomoa SAA sio.
 
Kq inaangamia kula hasara kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]badala uizungumzie uko busy na ATCL, hii najua ni zile ndege mbili zilizoingiwa makubaliano jana ndio zimekupapasa.
 
Nimenukuu tu [emoji23][emoji23][emoji23]

"Aidha, Shirika hilo lenye madeni na linalopata hasara tangu mwaka 2014 huku likimilikiwa kwa 48.9% na Serikali na 7.8% na Shirika la ndege la Ufaransa-KLM, limetangwa kuwa litataifishwa ili kukabiliana na hali hiyo"

Hehehe!! Mkulima anasubiri ndege zake...
To laymen like you, you will think ni mkulima. This is deep kuliko mkulima, na ukae ukijua, mkulima ameambiwa ailipe atcl gharama za kuwachelewesha. And we are a strategic nation, hatukurupuki, huwezi rudi ghafla ghafla mahala ushaona hapako sawa.
Vp routes za kq kwenda new york.
 
Hii imewashinda Maccm kuipa sound, mpaka sasa mumepoteana.
 
Back
Top Bottom