macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kuna huduma muhimu eg afya nk. Usafiri wa anga haijawahi kuwa huduma stahiki kwa kila raia. Kama unafikiri kuna serikali duniani itakupa huduma ya usafiri wa anga basi utasubiri mpaka kiama.Nia kubwa ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi.habari za biashara za nini?
Walizamishwa, wangewaacha hadi leo ungeona utamu wa game, fastjest walikuwa wajanja sana, zile ndege zao zilikuwa bomba sanaYaani waigwe waliozama.
CCM wanapanda bure maana ndege ni yao. Wengine bei ya ticket iko darini!Punguzo lipo kwa wana CCM
Nenda USA kupanda ndege sio anasa.bei rahisi kuliko unavyodhaniaKuna huduma muhimu eg afya nk. Usafiri wa anga haijawahi kuwa huduma stahiki kwa kila raia. Kama unafikiri kuna serikali duniani itakupa huduma ya usafiri wa anga basi utasubiri mpaka kiama.
Mazee kwani nani kasema ndege ni anasa? Na mimi nitakwambia ndege USA uone wafanyakazi wanavyolipwa vizuri. Issue ni kuwa sisi bado tuko nyuma kimaendeleo na purching power yetu ni ndogo. Huwezi kufananisha purchasing power ya States na ya kwetu.Nenda USA kupanda ndege sio anasa.bei rahisi kuliko unavyodhania