ATCL fanyeni kama Fastjet

ATCL fanyeni kama Fastjet

Nia kubwa ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi.habari za biashara za nini?
Kuna huduma muhimu eg afya nk. Usafiri wa anga haijawahi kuwa huduma stahiki kwa kila raia. Kama unafikiri kuna serikali duniani itakupa huduma ya usafiri wa anga basi utasubiri mpaka kiama.
 
Kuna huduma muhimu eg afya nk. Usafiri wa anga haijawahi kuwa huduma stahiki kwa kila raia. Kama unafikiri kuna serikali duniani itakupa huduma ya usafiri wa anga basi utasubiri mpaka kiama.
Nenda USA kupanda ndege sio anasa.bei rahisi kuliko unavyodhania
 
Nenda USA kupanda ndege sio anasa.bei rahisi kuliko unavyodhania
Mazee kwani nani kasema ndege ni anasa? Na mimi nitakwambia ndege USA uone wafanyakazi wanavyolipwa vizuri. Issue ni kuwa sisi bado tuko nyuma kimaendeleo na purching power yetu ni ndogo. Huwezi kufananisha purchasing power ya States na ya kwetu.
 
ATCL ijiendeshe kwa ruzuku tu ili ijikite kutoa huduma na siyo biashara.

Ruzuku kwa vyama vya siasa ielekeze ATCL nauli ziwe rafiki hata kwa watu wa kawaida tu.
 
Back
Top Bottom