ATCL hawana ujuzi wa kuendesha biashara

Kwa hiyo kila kitu kinachoendelea ATCL kitangazwe kwenye media? Huo utaratibu upo nchi gani? Watataarifiwa wahusika na sio kila mtu.
Mbona kupaka rangi tu imetangazwa siku nzima sembuse fursa za kibaiashara??
 
Hii sio habari kabisa. Labda yangekodiwa mabasi ya mwendokasi kwenda kwenye ngoma ya harusi ndio ingekuwa habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…