Hpo ndipo anapembua source ya hiyo loss inakotokea na sio loss as such ukitazama sababu mlipwaji ni serikali
Mfano vitabu vya hesabu vinaonyesha shirika lilipata mapato ya jumla ya shilingi bilioni 100 halafu ikalipa serikali parking fee shilingi bilioni 120.Utasema hilo shirika linaendeshwa kwa hasara linakula hela za walipa kodi sababu limepata hasara ya bilioni 20? Wakati hizo bilioni 120 zote zimeenda serikalini ambaye ndie mumiliki asilimia 100 WA SHIRIKA LA NDEGE HIYO HASARA NI YA WASIOJITAMBUA WAHASIBU NA CAG WAO.
ATCL sio kampuni private ni ya serikali asilimia 100.Kwa hiyo kujua kama ilipata hasara hutakiwi kuangalii vi book keeping vya form one vya profit and loss account!!!!! ANGALIA hayo yanayoitwa matumizi ni shilingi ngapi kapeleka serikalini pia.U take into account kabla ya kusema ohhh ATCL NI LOSS making compay .Inakula tu pesa za walipa kodi!! Imekula kodi za walipa kodi wapi hizo bilioni 120 kwenye huo mfano zimekwenda wapi si ni serikalini? Kwani Magufuli kaenda nazo kaburini au kazipeleka uswisi kuzificha? Na bado kuna ma VAT kibao serikali imelipwa na ATCL hujayajumlisha mikodi kibao ya tiketi na ya ATCL YENYEWE AMBAYO SERIKALI IMELIPWA NA ATCL
Mbunge Zungu yuko sahihi anajaribu kumuonyesha CAG NA SERIKALI KUWA HICHO KINACHOITWA LOSS siri yake imejificha wapi ambako hata CAG na kukariri kwake double entry book keeping hakuona sababu alichokisoma alikariri
Hadi sasa mtoa mada hajajibiwa kwa hoja...
naendelea kusisitiza JF ya sasa imejaa watu wa ajabu mno.
Nataka kuweka rekodi sawa.
Nanukuu
Mfano vitabu vya hesabu vinaonyesha shirika lilipata mapato ya jumla ya shilingi bilioni 100 halafu ikalipa serikali parking fee shilingi bilioni 120. Utasema hilo shirika linaendeshwa kwa hasara linakula hela za walipa kodi sababu limepata hasara ya bilioni 20? Wakati hizo bilioni 120 zote zimeenda serikalini ambaye ndie mumiliki asilimia 100 WA SHIRIKA LA NDEGE HIYO HASARA NI YA WASIOJITAMBUA WAHASIBU NA CAG WAO.
Majibu:
Pamoja na kuwa Serikali ina umiliki wa 100% wa shirika bado Serikali hiyo hiyo inaipa ATCl ruzuku ya shilingi bil. 153.7. Kati ya pesa hizo shilingi bil. 193.44
zilitumika sio kwa matumizi ya kawaida kama mishahara kama alivyopendekeza zungu, balizilitumika ktk matumizi yaliyohusiana moja kwa moja
na usafirishaji wa abiria na mizigo kutoka shilingi bilioni 133.64 mwaka wa fedha uliopita.
Pia, nilibaini kuwa hasara ilichangiwa na
kutokuwa na usimamizi mzuri wa matumizi ya utawala. Kwa mfano,
nilibaini kuwa kiasi cha shilingi bilioni 1.53 kililipwa kama stahiki
kwa wafanyakazi wa Kampuni. Hata hivyo, baadhi ya stahiki hizo
kama vile malipo ya likizo na malipo ya usafiri kwa wafanyakazi
ambazo hazijabainishwa katika mwongozo wa wafanyakazi wa
mwaka 2008.
Hivyo, ni maoni yangu kuwa bila kudhibiti gharama za uendeshaji
pamoja na za kibiashara, Kampuni itaendelea kupata hasara.