ATCL is risen again....

ATCL is risen again....

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
DjqDtp2XoAACK-t.jpg:large
 
Halafu aliyebuni mchanganyiko wa mawaa ya ndege zetu namsifu sana, yaani zinapendeza utadhani zimeshuka kutoka mbinguni! Mibaraka ya Mungu Mwenyezi kwa watu wake anaowapenda!
Tz imenunua best plane in each category. Short haul- bombadier, Medium haul- cs300/airbus a220 Long haul- Boieng 787.
Shida ipo wapi? kufikiria kwamba mchanganyiko ni mbaya ni fikira duni..yaani pedestrian knowledge
 
Wewe ni chizi? Umesoma nilichokiandika? Soma tena hki hapa chini

Halafu aliyebuni mchanganyiko wa mawaa ya ndege zetu namsifu sana, yaani zinapendeza utadhani zimeshuka kutoka mbinguni! Mibaraka ya Mungu Mwenyezi kwa watu wake anaowapenda!
 
he he! wengine tutakalia kuziona pichani...
 
Halafu aliyebuni mchanganyiko wa mawaa ya ndege zetu namsifu sana, yaani zinapendeza utadhani zimeshuka kutoka mbinguni! Mibaraka ya Mungu Mwenyezi kwa watu wake anaowapenda!
Naomba kujua maana ya neno 'mawaa'
 
Tz imenunua best plane in each category. Short haul- bombadier, Medium haul- cs300/airbus a220 Long haul- Boieng 787.
Shida ipo wapi? kufikiria kwamba mchanganyiko ni mbaya ni fikira duni..yaani pedestrian knowledge
The range ya hiyo A220 i think ni chini ya km 6000.
A proper medium haul aircraft ni Airbus A320neo and its rival the Boeing 737max (Russians are coming with the MS-21).
Eventually we are gonna have to buy those.
In my opinion the A220 is more a bigger capacity short haul aircraft haha.
 
Baadae kidogo hizo ndogo zitapark hapo Terminal 2 na kubwa zitakua zinapark Termina 3.
 
The range ya hiyo A220 i think ni chini ya km 6000.
A proper medium haul aircraft ni Airbus A320neo and its rival the Boeing 737max (Russians are coming with the MS-21).
Eventually we are gonna have to buy those.
In my opinion the A220 is more a bigger capacity short haul aircraft haha.
Hiyo CS 300 inauwezo wakufika India na nchi zote za Africa tokea Tanzania. Kwa hiyo baadhi ya nchi za Asia inaweza fika.
 
Aliyebuni kapatia sana ingawa kaacha rangi moja tu, nayo ni nyekundu, akiweka nyekundu tu tumepata bendera ya Chadema, hongera uliyebuni
 
Back
Top Bottom