Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
pewa chupa mbili kwa bill yanguCastle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pewa chupa mbili kwa bill yanguCastle
[emoji23][emoji23][emoji23] maaan unachekesha sana ujue. Hili shirika ndio limefufuliwa baada ya kuwa freezed kwa muda. Lazima lianze pole pole kwanza.. huwezi order ndege 100 in two years.Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
Hapo Amstedam airport unakaa siku ngapi? Maana ziko nyingi ikipaki zinapakia abiria inaruka ina maisha mwenzake naye apaki abebe abiria. Haiwezi kupaki kwa muda mrefu ni gharama kubwa
sasa wewe ukiona picha unafikiria ndege zimeshida hapo parking zote zikiota Jua.Hapo Amstedam airport unakaa siku ngapi? Maana ziko nyingi ikipaki zinapakia abiria inaruka ina maisha mwenzake naye apaki abebe abiria. Haiwezi kupaki kwa muda mrefu ni gharama kubwa
I hope u knw wakona fleet size ya 119 aircraftsUSHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.
Ndege zote kuwa zinazofanya safari Dar na mikoani huwa zinalala Dar iwe ya serikali we ya kampuni binafsi...zinapofanya safari za mikoani lazima safari ya mwisho ni kurudi Dar yaani iwe fastjet, Precision ama yoyote labda zile ndege ndogo ndogo. Na hapo ukiangalia ni asubuhi huenda kuna mbili zimeshafanya route za saa 12 na zimekutana hapo tayari kwa route nyingineAirline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
hiyo imesha kua Airbuss 220Nicely, while awaiting for 2brand new C300 and Boeing 878
Jamaa ni mkeleketwa wa ccm uwa wanakisonono cha kujistukia na kutokuelewa ndiyo maana kakushutumu bila kuelewa ulicho andikaWewe ni chizi? Umesoma nilichokiandika? Soma tena hki hapa chini
Halafu aliyebuni mchanganyiko wa mawaa ya ndege zetu namsifu sana, yaani zinapendeza utadhani zimeshuka kutoka mbinguni! Mibaraka ya Mungu Mwenyezi kwa watu wake anaowapenda!
Hi ni wastage of funds. Hii pesa ingewekwa kwa SGR, hospitals, schools, roads, teachers, etc. Prepare for another loss making round. Making instant profits in airline industry ni uwongo wa mchana.Huu ukurupukwaji wa pesa tuu, time will tell, ndege iwe ya serikali ATC wakodi, na hawapati faida mpaka nae, na hata ATC wakanunua wenyewe hali ni ile ile, it' a matter of time
In any business there is profit and lossHi ni wastage of funds. Hii pesa ingewekwa kwa SGR, hospitals, schools, roads, teachers, etc. Prepare for another loss making round. Making instant profits in airline industry ni uwongo wa mchana.
Ndg hawa lumumba hawajielewi yapo yanakenua meno kushangilia eti rangi! Yaan nchi inaviwanja zaidi ya kumi na tano, ndege zipo nne tu zote zipo kwenye ardhi tena sio viwanja tofaut, uwanja mmoja! Meaning route arrangement imefail lakini lumumba wanashangilia! Wakati mwengine nikuangalia unabaki unamfikiria huyu anayeshangilia ni.... hajielewi kiufupiAirline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
Hizo ndege zilikutanishwa hapo kwa ajili ya kupiga picha ni kitu cha kawaida.Ndg hawa lumumba hawajielewi yapo yanakenua meno kushangilia eti rangi! Yaan nchi inaviwanja zaidi ya kumi na tano, ndege zipo nne tu zote zipo kwenye ardhi tena sio viwanja tofaut, uwanja mmoja! Meaning route arrangement imefail lakini lumumba wanashangilia! Wakati mwengine nikuangalia unabaki unamfikiria huyu anayeshangilia ni.... hajielewi kiufupi
USHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.
KLM haina ndege nne.
Ata wakipaki kadhaa, mingi ziko angani ama kwa viwanja vingine.
[emoji23][emoji23][emoji23] maaan unachekesha sana ujue. Hili shirika ndio limefufuliwa baada ya kuwa freezed kwa muda. Lazima lianze pole pole kwanza.. huwezi order ndege 100 in two years.
Na maswala ya kusema kuwa wamepata hasara.. hizo ni propaganda tu, check details uone ndege ilivikuwa imejaza mpaka ticket zinaisha.
Kama ndege zilikuwa hapo parking kwa sababu ya kupigwa picha za kuweka kwa Annual Reports, inakuuma nini? Si ulete downtime and flight time reports si kukurupuka kwa hisia zako?KLM haina ndege nne.
Ata wakipaki kadhaa, mingi ziko angani ama kwa viwanja vingine.
Mkuu bhangi inazidi kudidimiza kizazi cha kesho msamehe bure.USHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.
From the pic clearly kuna maeneo hata within Africa ambayo A220 haiwezi kufika.CS300 Inafika India vizuri! Hata kwa kuangalia hiyo map hiyo circle inaweza kupanda juu zaidi na Kwa kuchukua circumference Mumbai is well covered. Tumia akili ya mahesabu vizuri. Na pia inafika any point in Africa kutokea Dar or anywhere in Tanzania.
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.