ATCL is risen again....

ATCL is risen again....

Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] maaan unachekesha sana ujue. Hili shirika ndio limefufuliwa baada ya kuwa freezed kwa muda. Lazima lianze pole pole kwanza.. huwezi order ndege 100 in two years.
Na maswala ya kusema kuwa wamepata hasara.. hizo ni propaganda tu, check details uone ndege ilivikuwa imejaza mpaka ticket zinaisha.
 
Hapo Amstedam airport unakaa siku ngapi? Maana ziko nyingi ikipaki zinapakia abiria inaruka ina maisha mwenzake naye apaki abebe abiria. Haiwezi kupaki kwa muda mrefu ni gharama kubwa

sasa wewe ukiona picha unafikiria ndege zimeshida hapo parking zote zikiota Jua.
Ina maana ukiniona nimepigwa picha na Range Rover basi ni yangu. Fikra Duni hizi..
Makinika kwanza, ATCL ni shirika jipya kwa sasa, lazima watafute biashara na hali ya kuto paa kwa mda lazima iwepo. Uzuri ni kwamba sasa watu wanang'angania Ticketi za ATCL
 
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
Ndege zote kuwa zinazofanya safari Dar na mikoani huwa zinalala Dar iwe ya serikali we ya kampuni binafsi...zinapofanya safari za mikoani lazima safari ya mwisho ni kurudi Dar yaani iwe fastjet, Precision ama yoyote labda zile ndege ndogo ndogo. Na hapo ukiangalia ni asubuhi huenda kuna mbili zimeshafanya route za saa 12 na zimekutana hapo tayari kwa route nyingine
 
Wewe ni chizi? Umesoma nilichokiandika? Soma tena hki hapa chini

Halafu aliyebuni mchanganyiko wa mawaa ya ndege zetu namsifu sana, yaani zinapendeza utadhani zimeshuka kutoka mbinguni! Mibaraka ya Mungu Mwenyezi kwa watu wake anaowapenda!
Jamaa ni mkeleketwa wa ccm uwa wanakisonono cha kujistukia na kutokuelewa ndiyo maana kakushutumu bila kuelewa ulicho andika
 
Huu ukurupukwaji wa pesa tuu, time will tell, ndege iwe ya serikali ATC wakodi, na hawapati faida mpaka nae, na hata ATC wakanunua wenyewe hali ni ile ile, it' a matter of time
 
Hi ni wastage of funds. Hii pesa ingewekwa kwa SGR, hospitals, schools, roads, teachers, etc. Prepare for another loss making round. Making instant profits in airline industry ni uwongo wa mchana.
 
In any business there is profit and loss
 
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.
Ndg hawa lumumba hawajielewi yapo yanakenua meno kushangilia eti rangi! Yaan nchi inaviwanja zaidi ya kumi na tano, ndege zipo nne tu zote zipo kwenye ardhi tena sio viwanja tofaut, uwanja mmoja! Meaning route arrangement imefail lakini lumumba wanashangilia! Wakati mwengine nikuangalia unabaki unamfikiria huyu anayeshangilia ni.... hajielewi kiufupi
 
Hizo ndege zilikutanishwa hapo kwa ajili ya kupiga picha ni kitu cha kawaida.
 
USHAMBA utakuua. Mbona nikiwa Schipho Amsterdam naoziona KLM kibao zimepaki. Wewe unafikiri muda wote ziko hewani.

KLM haina ndege nne.
Ata wakipaki kadhaa, mingi ziko angani ama kwa viwanja vingine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] maaan unachekesha sana ujue. Hili shirika ndio limefufuliwa baada ya kuwa freezed kwa muda. Lazima lianze pole pole kwanza.. huwezi order ndege 100 in two years.
Na maswala ya kusema kuwa wamepata hasara.. hizo ni propaganda tu, check details uone ndege ilivikuwa imejaza mpaka ticket zinaisha.

Hasara ya ATCL karibu kutoshana na ya KQ.
Actually, ATCL haijawai tengeneza profit kutoka ianzishwe.
 
CS300 Inafika India vizuri! Hata kwa kuangalia hiyo map hiyo circle inaweza kupanda juu zaidi na Kwa kuchukua circumference Mumbai is well covered. Tumia akili ya mahesabu vizuri. Na pia inafika any point in Africa kutokea Dar or anywhere in Tanzania.
From the pic clearly kuna maeneo hata within Africa ambayo A220 haiwezi kufika.
It is NOT a long range aircraft.
India sawa sijakataa.
 
Airline iko na ndege 4, na zote zinakutana uwanjani. Kweli LDC ni LDC. No customers?
Planes make money on the air not on the tarmac.
Already hasara ya mwaka ishaanza kuhesabiwa.

WEWE NI KILAZA KWELI SAS HUONI KASI YA UMEME HIYO SHIRIKA LINA MIAKA MIWILI LINA NDEGE NNE JE LIKIKAA MIAKA 10 ITAKUAJE

NAONA WIVU UNAKUUA TARATIBU
 
Back
Top Bottom