ATCL, Jiridhisheni na uimara wa viti vya Bombardiers zetu!

ATCL, Jiridhisheni na uimara wa viti vya Bombardiers zetu!

Tushishangae siku tukastuka viti vinangolewa na kutupwa toka angani.

Ni ushauri tu. Chukueni tahadhari kabla ya hatari.

Naona una utani na simba sports club wewe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki ni kijembe tu kwa jamaa zetu flani hivi.
 
Sipendi ujinga
 

Attachments

  • 1475553753504.jpg
    1475553753504.jpg
    45.9 KB · Views: 34
Back
Top Bottom