ATCL inakunyima usingizi😂😂😂wale wadada kwa video za bongo wapo wapi aiseee?? hapa imenibidi kuosha macho.....
View attachment 847502
View attachment 847503
Kama mna taka kulinganisha, linganisha na hawa wa Kenyawale wadada kwa video za bongo wapo wapi aiseee?? hapa imenibidi kuosha macho.....
View attachment 847502
View attachment 847503
ATCL inawanyima usingizi😂😂😂Kama mna taka kulinganisha, linganisha na hawa wa Kenya
Wekeni cabin crew ATCL 2018 vs KQ 2018View attachment 847708
Unapofanya hitimisho bila hata kujiridhisha kisa umeona watu wamevaa sare za atcl basi wewe kweli sio great thinker.To be honest ATCL hapo wanafeli big time,
Hao kina Mwajuma ndalandefu kuwa kwenye Cabin crew inaonesha hatuko serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hawa ndio takataka?Kama mna taka kulinganisha, linganisha na hawa wa Kenya
Wekeni cabin crew ATCL 2018 vs KQ 2018View attachment 847708
Yani sasa hivi, ukiwaambia Tanzania, magufuli, biashara za kikanda wanasikia uchungu na machozi yanawatoka. [emoji23] [emoji23] [emoji23]ATCL inawanyima usingizi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 847712View attachment 847713View attachment 847715
Haha, mkuu hayo mimi sijayasema [emoji23] ]Kwa hiyo hawa ndio takataka?
Katika hali ya kawaida ungetaja eneo ulilo elekea..Kuna siku nilipanda ATCL kwenda mahala flani hapa nchini wala sikufurahia safari.. flight attendants ni wamama yan dahh wala hauenjoy hata kuagiza kinywaj
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli tuna mitizamo tofauti kwa kila jambo,yaani mtaani kwenu hakuna warembo mpaka ukawakute ndani ya ndege!!!
Don't you see that hapo wapo kwa office tu?wale wadada kwa video za bongo wapo wapi aiseee?? hapa imenibidi kuosha macho.....
View attachment 847502
View attachment 847503