atcl- kuchafua wasafiri macho!

atcl- kuchafua wasafiri macho!

wale wadada kwa video za bongo wapo wapi aiseee?? hapa imenibidi kuosha macho.....
View attachment 847502

View attachment 847503
ATCL inakunyima usingizi😂😂😂
air Tanzania1.jpg
DdepFyrVMAAZtmh.jpg
air-tanzania-established-600x445.jpg
 
Kuna siku nilipanda ATCL kwenda mahala flani hapa nchini wala sikufurahia safari.. flight attendants ni wamama yan dahh wala hauenjoy hata kuagiza kinywaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Nimecheka ile mbaya, comment za watu huku! Wah!
 
Kenya airways has very beautiful ladies with wowowo na muoneka no wa kuvutia kiujumla. Sasaa, kwani aliyekuwa anafanya interview ya kuwaajili hao ma airhostes alikuwa kipofu au shoga hajui ladha! Hii kali ya mwaka. Afadhali tungemuomba bakhresa atupe waudumu wa meli zake za Zanzibar -Dar kuliko hio fedhea.
Wanazingua aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marketers tutaelewana. Kimasoko naungana na mleta thread, kibinadamu siungani nae. Tunaangalia vitu vingi hasa unapo taka kufanya advertising runingani au kwenye vipeperushi ( muonekano ni muhimu kulingana na tangazo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom