ATCL kujigamba kuhudumia wateja 60,000 kwa mwezi ni failure. Ni wazi kuwa ndege nane zilinunuliwa kwa cash bila kufanya tathimini yakinifu

Kuna mtaalam wa haya mambo mimi namuamini sana,na anajua mengi kusema ukweli! Naomba nimuite hapa

barafu
barafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Alishatimizia wajibu wake

 


Daa mkuu umemzima huy kimaa maan wnaropoka kwel yaan mh rais anakz kwl na waong wa nchi hii mzembe akipita mtaan akamkuta huy jamaa anaropoka ataona anaongea hoja nzuri asnt tunatak watu kam nyie kuwaziba hwa wanafik wa humu jf
 
Duh pole una shida ya ubongo...!

Umeandika kwa chuki, hata kama ni exaggeration umezidisha watu milioni 15 Mwanza Dar[emoji2307]
 
Hoja hapa ni idadi ya watu nchini Tanzania,alafu uwiano wa watu kuweza kupanda ndege,chekecha akili yako.
 
Kwani ushamsikia tena jiwe akiongelea ATCL?
Anajua kachemsha
 
Biashara ya ndege sio lelemama... hata huku SAA iko taabani na Namibian wameamua kuvunja Air Namibian yote kutokana na serikali kuwa ina ' bail out' kila mwaka but shirika limeendelea kupata hasara! Lilibaki sie tumwombe Mungu tusifike huko.
 
kati basi mje na idadi ya watanzania mil 15 ambao wana uwezo wa kulipia tiketi ya laki 3 kutoka Mza kwenda Dar. Lakini taifa lina watu mil 60. Watu elfu 60 kwa kwa mwezi wanapanda ndege mnajisifu huu ni mdhaha.
Kwa hiyo ulitegemea watu milioni 60.wapande ndege?
Hizo takwimu zimezingatia pia uwepo wa corona ambapo abiria wamepungua
 
Kwa hivyo anayesema 60k ni watu wachache kumbe ndio hajielewi zaidi?

Wakizidi wengi watashikilia bomba ...
Analysis hii ndio itawaumbua. Hakuna ndege itakayobeba abiria 250 kwa siku kwa sababu hata hizi ndege zenye seats 72, mara nyingi hazina hata abiria 50 kwa safari moja. Na hapo hapo bado wanapambana na precisionair - hizi taarifa za kupika tu!!
 
Hivi kwa akili za kawaida unaweza kujisifia kuhudumia watu 60,000 kati ya watu mil 60? Na wewe ukatoka kifua mbele kuwa uko vizuri! Kwamba eti soko lako limekua? Hii ni aibu kubwa.
Hata nchi zilizoendelea wapanda ndege wachache wengi hupanda treni za mwendo kasi na mabasi
tutajie nchi moja tu ambayo majority husafiri kwa ndege
 
Mtoa mada uko na mtazamo hasi sana. Unapenda kuona mambo yajishindikana.

Una roho mbaya na unafurahi kuona mtu/watu wakishindwa. Hii ni roho ya kishetani 100%.

Zile si hela za JPM, ni kodi zetu wasaka tumbo. Tunapaswa kuziombea mema ili zizalishe zituletee maendeleo na pia kurahisisha usafirishaji.

Nilitegemea ungekuja na namna nzuri ya kufanya ili kodi zetu zisiende bure(kama ni kweli) badala yake zizalishe na kuajiri vijana wenzetu kwenye sekta ya anga.

Anyway umetumia uhuru wako wa kutoa maoni.
 
Biashara ya ndege sio lelemama..mamake hata huku SAA iko taabani na Namibian wameamua kuvunja Air Namibian yote kutokana na serikali kuwa ina ' bail out' kila mwaka but shirika limeendelea kupata hasara! Lilibaki sie tumwombe Mungu tusifike huko.
Namibia na south Africa ndege nyingi route za ulaya Corona ime affect zetu nyingi local effect ndogo
 
Kabla ya kuanza kulinganisha abiria 60000 na idadi ya watu milioni 60 titafute hesabu ya idadi ya watanzania wenye uwezo wa kupanda ndege kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…