another Marathon naomba this time hata wamalize hizo 42 km! Maana Precisionair iko gado
Ni kweli, Precision WAKO gado sana, na wamejitangaza vya kutosha.
Lakini jamaa wa ATCL wanasema hilo haliwatishi, maana wana wateja wao waaminifu toka zamani, ambao wanaiamini sana kampuni yao, na hawawezi kuiangusha.
Sasa jana yenyewe(alhamisi) wameboa baada ya kushindwa kutua kwa kisingizio/tatizo la hali ya hewa, wakati PW amepeta, tena kwa flights mbili!Ninakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa kabisa. Future ya ATC is bright than PW, kinachotakiwa ni kwa ATC kujipanga upya na kuweza kukamata soko lake ambalo bado wana nafasi ya kufanya hivyo.
Sasa jana yenyewe(alhamisi) wameboa baada ya kushindwa kutua kwa kisingizio/tatizo la hali ya hewa, wakati PW amepeta, tena kwa flights mbili!
Hakika inabidi wawepo watu watakaojitoa muhanga kwa ajili ya nusura ya shirika!
Lakini sababu za kushindwa kutua kwa kigezo cha hali mbaya ya hewa ni ishara nzuri kuwa ATC pamoja na kutoa huduma pia inajali usalama wa abiria wake. Kama upo karibu na hii industry, kuna baadhi ya makampuni hu-take risk on the expense ya maisha ya abiria. Kuna baadhi ya ndege hurushwa angani zikiwa na snags, lakini abiria hawayafahamu hayo!
Wateja wao wakiwa viongozi na wafanyakazi wa kiserikali! hii ni kama TBC, magazeti ya Dailynews, Mzalendo na Uhuru kutumia pesa ya walipa kodi kuendeshwa na kuyanunua pasipo soko la ushindani wa kibiashara ama sivyo ATCL haiwezi kushindana na PW! Mark my wordsNinakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa kabisa. Future ya ATC is bright than PW, kinachotakiwa ni kwa ATC kujipanga upya na kuweza kukamata soko lake ambalo bado wana nafasi ya kufanya hivyo.
Wateja wao wakiwa viongozi na wafanyakazi wa kiserikali! hii ni kama TBC, magazeti ya Dailynews, Mzalendo na Uhuru kutumia pesa ya walipa kodi kuendeshwa na kuyanunua pasipo soko la ushindani wa kibiashara ama sivyo ATCL haiwezi kushindana na PW! Mark my words
Wateja wao wakiwa viongozi na wafanyakazi wa kiserikali! hii ni kama TBC, magazeti ya Dailynews, Mzalendo na Uhuru kutumia pesa ya walipa kodi kuendeshwa na kuyanunua pasipo soko la ushindani wa kibiashara ama sivyo ATCL haiwezi kushindana na PW! Mark my words
G.U
Nilipata wasiwasi huo katika post no 42 hapo juu pia!
Sijui hawa ndugu wameliwekea mikakati gani!
Unanikumbusha migongano ya DAWASCO na Jeshi katika kulipana madeni ya bili za huduma ya maji!..Ni ngumu sana hii maneno!..Watu bado wamekaa kihudumahuduma tu, na si kibiashara.
Sielewi PUNDAMILIA analisemeaje hilo, maana ni yeye ni ATCL-ONE, (joke)!