evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Yaani mijitu mingine hovyo sana sijui inafirwagwaa mdomoni haioni aibu kabis kuleta hoja za kipuuzi,eti atcl ishindane na ethiopia air pumbavu zake kabisa hilo lijamaaIndirect profit waseme wanasiasa sio CAG Ile ni taaluma.
Eti mtu analinganisha ATCL na Ethiopian Airlines
You must be crazy
===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.
Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)
Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,
Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,
Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?
Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,
Nimejaribu ku-Google bei za kila ndege na hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,
Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni
Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko Salama Sana,
||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema||
very sadIshu ya utalii uliyoiongelea unaikana siyo.
Pumbavu sana wewe na kumaaa yako mbovu kama ya huyo unayempamb
Lini wakati ndio unazidiUmeme na maji vitabaki kuwa historia Tanzania, Mark my words
Andiko zuri sana hili, Tuko na Samia===
Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa.
Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa sana kwa Uchumi wa nchi yetu, kwamfano hadi kufikia ripoti ya mwisho ya CAG shirika letu la ATCL lilitengeneza hasara ya TZS 153BL ila indirect benefits CAG hakuzitaja ambazo ndio zinathamani kubwa zaidi ya hiyo hasara (Wakati mwingine CAG aje na indirect benefits za ATCL)
Kwamsiofahamu faida za ndege duniani kote sio Air ticketing (tiketi) ila ni indirect Profit yaani faida mbadala mathalani Tanzania tayari inahitaji watalii kutoka Duniani kote na kwamsiojua Watalii wanalipa kuliko hii "Air ticketing " mnazozipigia kelele,
Mfano, Mwaka 2017|18 mapato yetu yatokanayo na Utali yalifikia $2.4BL sawa na Tshs 5.5trilioni wakati rekodi ya Watali ikiwa 2m tu,Lakini tunafahamu duniani kila mwaka kuna zaidi ya Watali 1.5bl wanatafuta wapi waende kula bata,
Kama tulipata TZS 5.5Trilioni kwa watalii 2m waliojileta wenyewe itakuwaje tukiwafuata kwa Ndege zetu wenyewe? Nahasa ya 153BL Ni-nini kwenye mapato ya TZS 5.5 kama ndege hizi zitaleta watalii 2m wapya?
Niulize swali, Kenya Airways inaweza kubeba watalii toka UK ikawaletea ninyi Tanzania mnaopinga kuwa na ndenge zenu? "Jibu ni Hapana" vivyo hivyo kwa mataifa shidani kibiashara toka Africa hawawezi kuwafaidisha ninyi lazima kila nchi ivutie kwake na hii ni miongoni mwasababu inamfanya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza ndege mpya tano za kisasa huku akilipia nne za awali,
Nimejaribu ku-Google bei za kila ndege na hizi ndizo bei za kiwandani japo naamini kunapunguzo,
Bei ya Boing 787-800 dreamliner ni $248M au TZS 570.4BL,Wakati bei ya Boing 767 -300 Freighter ni $220M au TZS 506BL na Boing 737 Max ni $99.7M kwa moja sawa na TZS 458.6BL kwa zote mbili, Bei ya ndege zote nne kwa mujibu wa bei ya kiwandani ni $667.4M sawa na TZS 1.535Trilioni
Puuzeni uzushi, bei ya kiwandani kwa ndege zote mpya nne zilizoagizwa na Rais Samia ni $667.4M au TZS 1.5T na Sio $726M au 1.7T,Watanzania chapeni kazi inchi yenu iko Salama Sana,
||Jifunzeni kuisemea nchi yenu mema||
Lilikuwa swali lile badala ya kujibu naona unaendeleza lawama!.Unapenda sana lawama mzee
Kweli CM 1774858 anaweza kuwa mpumbafu kwa aina ya nyuzi anazoleta hapa?CM1774858, Jabali la Siasa, ni mpumbavu mmoja mwenye hizo id
Hata kama unalipwa kuja kuandika humu huo utakuwa ni upumbavu tu. I Ignore you officially.Tanzania imepata Rais wa kihistoria anayebisha ni kichaa tu,
Mbona ni mada tofauti?Mgao wa umeme na maji imekuwa kero kubwa kwa wadanganyika hizo ndege zilete maji kwa wanamchi kwa hisani ya Mzee Hashimu
Umeandika kishabiki zaidi. Ungetaja wao Atcl wanazo ngapi hata kama ni chache.Punguza ujuaji.
Kenya Airways wana Internationa Destinations 27 ambazo zipo active.
Rwanda Air wana international destinations 26 ambazo zipo active.
Tuwaache ethiopians Airline maana wana international Destinations zaidi ya 100. Hivyo ni aibu hata kuwacompare na Air Tanzania.
Air Tanzania wana International Destinations ngapi ambazo zipo active?
Sipo hapa kubishana na wapumbavu.Umeandika kishabiki zaidi. Ungetaja wao Atcl wanazo ngapi hata kama ni chache.
Nasema kishabiki, maana unaweka picha kama vile Atcl hawana International routes
Shule hii ni mpya mkuu sijawahi kuisikiaPost ya mtu anayejipiga dole la mdhuti halafu anajinusa. Unaona sisi ni wajinga sana eti indirect profit, hakunaga kitu kinaitwa indirect profit kwenye uchumi hata siku moja.
Kila asset inaponunuliwa itakuwa calculated yenyewe kama inajiendesha kwenye kampuni Ina maana hiyo kampuni itareport loss au profit, period hakuna idirect loss or indirect profit, acha kutuletea umang'aa kawadanganye kijijini kwenu.
Laiti hizi ndege zingekuwa chini ya wizara ya utalii na zikawa hazijawekwa as asset chini ya kampuni labda tungezichukulia kwa namna hiyo lakini pia haziwekwi kwenye mambo yako ya indirect zinaweza kuwekwa Kama asset za kufanya shughuli ya ubebaji abiria ambao wanaenda kutalii ambapo labda hiyo utalii ndio ingekuwa biashara yenyewe labda tusingezihesabia hasara sababu zenyewe ni tool ya kufanya hiyo biashara.
Tofauti ni kwamba hizi ndege zimeletwa ziwe chini ya kampuni ambayo yenyewe inafanya biashara ya air transportation hivyo huo utalii haupo kwenye core business ya ATCL so tutaihesabia hasara au faida kutokana na abiria iliyobeba sio utalii iliyoleta.
Ni sawa uwe na basi la abiria umefanya daladala Ila kila siku halikuletei faida zaidi ya hela yote kuishia matengenezo na madeni juu halafu uihesabie basi linakupa indirect profit sababu unalitumia Kama usafiri kwenda shambani 🤷🤷 hii elimu ya wapi?
Vipi bado mnasema indirect profit baada ya ripoti ya Jana bungeni????Andiko zuri sana hili, Tuko na Samia
Mzee wa indirect profit bado unaendelea na huu ujinga wako baada ya Ile ripoti ya PAC kuhusu hasara ya ATCL ya zaidi ya 60 billion????===