ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa


Bado unazungumzia theory:
1: Ungekuja na takwimu kwamba kuna watalii kiasi fulani walikuja moja kwa moja kwa kutumia ndege zetu. Na probability kuwa ndege zetu zisingekuwepo basi wasingekuja kwa kuwa usafiri ungekosekana au kuwa mgumu kwao (fanya dodoso kwa watalii waliokuja na ndege za ATCL upate feedback yao). Na hawa wametuingizia pesa kiasi hiki ningekuelewa zaidi.

2: Pia pata utofauti wa msukumo wa hali ya kisiasa na ushirikiano wetu na mataifa mengine. Imekuwa na msukumo gani chanya au hasi kwenye utalii kwa ujumla?

3: Hali ya uchumi wa kidunia kwa ujumla inakuwa na mchango kiasi hani kwa utalii?

4: Hali ya magonjwa yanayoathiri eneo kubwa la dunia yana msukumo kiasi gani?

5: Hali ya usalama wa eneo husika na dunia, vina msukumo kiasi gani kwa utalii wa maeneo ya dunia?
 
Thank you soo much, kuna kundi lilikuwa majizi wkt fulani, sasa wanataka kuuaminisha umma kuwa hata JPM alikuwa Mwizi kama wao. dirty to dirty
 
Huna hata aibu, 60yrs of independence huna hata ndege moja hii si ingekuwa ni aibu ya mwaka. kwa sasa tunaweza kuruka ndani kwa ndege zeti. hopless
 
Huna hata aibu, 60yrs of independence huna hata ndege moja hii si ingekuwa ni aibu ya mwaka. kwa sasa tunaweza kuruka ndani kwa ndege zeti. hopless

Ingekuwa aibu gani nyie wezi ? Wananchi wangapi wanatumia usafiri wa anga? Miaka 60 ya uhuru watu hawana maji , umeme wa mgao, mishahara haipandishwi kwa wafanyakazi na mengine mengi!!! Mnapenda sifa msizostahili!!
 
Ingekuwa aibu gani nyie wezi ? Wananchi wangapi wanatumia usafiri wa anga? Miaka 60 ya uhuru watu hawana maji , umeme wa mgao, mishahara haipandishwi kwa wafanyakazi na mengine mengi!!! Mnapenda sifa msizostahili!!
Hatukatai kununa Ndege lakini ununuzi huo uwe justified na conditions on the ground; sio kununua Ndege halafu mnazipark uwanjani haziruki na mnazidi kurundika nyingine mradi muambiwe mna AIRLINE yenge Ndege nyingi!!!
Priorities za Serikali ni mbovu Kwani mpaka sasa kuna wananchi hawana maji safi na salama na miradi mikubwa na ya mkakati imeanza kusua sua!!! Kununua ndege mpya should have not been a priority at all.
 
Ndo dili mlilofanya na beberu kwenye ziara ya marekani, maana sijaona hata airbus moja.........nyinyi mnachotakiwa kufanya ingieni makubaliano na mashirika ya waarabu mpate watalii ambao wanatumia qatar, emirates na etihad kwa kuwasafirisha na ndege zenu kutoka arabuni, sana sana labda safari za india na china. Hamna ubavu wa ku operate fleet za kwenda ulaya na marekani kiushindani, mtaishia kuwatwisha mzigo wanyonge......​
 
Ndo shida ya hawa wasaka tonge, ni mwendo wa kukurupuka tu bila kufanya analysis yoyote...
 
Kwanza unapaswa kuelewa kuwa hakuna ndege zinanunuliwa kwa cash.. Hapo tumekopeshwa na as a result
Deni la taifa linazidi kupaa juu angani
 
Unanunua ndege alafu maji na umeme ni vya mgao hakika ccm janga la kitaifa tunahitaji katiba mpya
 
Hapana bado nakataa mana nimeambiwa Tanzania tutembee vifua mbele ATCL inashindana na ETHIOPIAN AW....[emoji23][emoji23][emoji23]

hii nchii imejee mazombie wanaojali tumbo zao
Mkuu utulie hivyo hivyo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Bainisha uongo kwenye hilo andiko mkuu wangu
Hao watalii waliokuja miaka yote walibebwa na ATCL/ATC?
Israel inapokea kwa mwezi watalii sawa tunaopata sisi kwa mwaka EL Al shirika lao linachangia just 12% ya wasafiri hao hatuna cha kujifunza market strategy hapa?
Mpaka sasa hizo ndege zimenda nchi gani kuleta watalii na zinatua nchi gani za Ulaya na Marekani kuliopo soko letu?
Tuanzie hapo
 
Hawa wenzetu wame develop hizo international destinations kwa kipindi gani? ikiwa ni pamoja na fleet expansion programme zao.
 
Domestic market? Wanakwenda vipi?
 
Haya ungeyasema Magufuli alipokuwa hai ingependeza sana ,bali uliamua kukaa kimya , any way,nimekuelewa kwa nini unasema sasa
 
Nakubaliana na Wewe kuna indirect benefits hata mimi zimenifikia baada ya kuamua kung'oa siti lile dream liner kuifanya ya mizigo direct to and from China.
Mizigo ambayo tulikuwa tunatumia Ethiopia ilikuwa ni almost 2weeks lakini sasa angalao kila wiki ATCL ipo.

Lakini sasa kama ilivyo ada ya waswahili na ukosefu wa akili ya ushindani na biashara, hii route itakuja kufa mapema mwakani pale China atakaporuhusu wafanyibishara kuingia China.
Hii ni kwa sababu ATCL wameshavimbiwa kichwa baada ya kupata mizigo mingi hivyo kuanza tabia ya kuacha mizigo ya wateja kwenye ofisi zao Guan Zhou bila hata kumpa taarifa mteja, ukija kuitafuta TZ ndio unaambiwa mizigo yako kadhaa ilibaki kwasababu ndege ilijaa.

Tunakubaliana kimsingi ndege inaweza kufikia ukomo wa ubebaji lakini ni hekima kumpa taarifa mteja mapema ili ajue na afanye uamuzi, mathalani nina boxesa/vifurushi 50 na vina bidhaa tofauti, ukinipa taarifa nitakupa muongozo kwamba badala ya kupakia box A B C, pakia D E F kwasababu ndio nina soko la haraka hizo nyingine ndio zibaki.

Kwenye hoja yako ya thamani ya hizo ndege nafikiri umesahau kuangalia mchakato wa tenda na manunuzi kwa vitu vya serikali.
Cement unayojua Wewe ni 14000 serikali itanunua kwa 17000.
Kwa hiyo huwezi kupata gharama kwa kukokotoa kwenye mtandao. Hapo utaambiwa kuna cost za sijui ukaguzi nk
 
Wengine waibe kodi zetu , alafu sisi tuwe wazalendo Kwa niaba yao
Umeme hamna hii siku ya pili ukiuliza unaambiwa hakuna mgao
Alafu mjinga mmoja anasema
M'we wazalendo na nchi yenu
Nani kaiba kodi zetu?
 
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…