ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

Mama twende kazi, Tuko na wewe
 
Tuko vizuri sana Tanza
 
Post ya mtu anayejipiga dole la mdhuti halafu anajinusa. Unaona sisi ni wajinga sana eti indirect profit, hakunaga kitu kinaitwa indirect profit kwenye uchumi hata siku moja.

Kila asset inaponunuliwa itakuwa calculated yenyewe kama inajiendesha kwenye kampuni Ina maana hiyo kampuni itareport loss au profit, period hakuna idirect loss or indirect profit, acha kutuletea umang'aa kawadanganye kijijini kwenu.

Laiti hizi ndege zingekuwa chini ya wizara ya utalii na zikawa hazijawekwa as asset chini ya kampuni labda tungezichukulia kwa namna hiyo lakini pia haziwekwi kwenye mambo yako ya indirect zinaweza kuwekwa Kama asset za kufanya shughuli ya ubebaji abiria ambao wanaenda kutalii ambapo labda hiyo utalii ndio ingekuwa biashara yenyewe labda tusingezihesabia hasara sababu zenyewe ni tool ya kufanya hiyo biashara.

Tofauti ni kwamba hizi ndege zimeletwa ziwe chini ya kampuni ambayo yenyewe inafanya biashara ya air transportation hivyo huo utalii haupo kwenye core business ya ATCL so tutaihesabia hasara au faida kutokana na abiria iliyobeba sio utalii iliyoleta.

Ni sawa uwe na basi la abiria umefanya daladala Ila kila siku halikuletei faida zaidi ya hela yote kuishia matengenezo na madeni juu halafu uihesabie basi linakupa indirect profit sababu unalitumia Kama usafiri kwenda shambani 🀷🀷 hii elimu ya wapi?
 
Kuna mtu hapa anatakiwa kusoma kwa hekima na umakini ili aelewe, yeye anadhani kila mtu ni poyoyo au anampinga mamake.
CM 1774858
Jabali la Siasa

πŸ‘‡πŸΏ
 
Direct or Indirect Profit means any monetary compensation, other than for the reasonable and actual costs of providing goods, services, supplies, products or equipment (including carrying costs of facilities), whether in the form of a payment, credit, rebate, refund, kick-back, revenue sharing, royalty, profit participation, equity participation, barter consideration in the form of goods or services, or any other device, however denominated, and whether similar or dissimilar to any of the foregoing, received by the Manager and/or any of its Affiliates, directly or indirectly, in any calendar year from or on account of the Gross Operating Revenues from the Hotel. For purposes of this definition, none of the following shall be considered a Direct or Indirect Profit to Manager and/or its Affiliates
 
Watalii uawategemei ndege za nchi husika ili waweze kuitembelea. Huhitaji ndege (zako binafsi) kutangaza utalii.
 
Sahihi pacha, ila umekuwa adimu sana,
Nyinyi CHAWA mnahangaika sana. Mama anafikiri hizo ndege zinaruka kwa kutumia maji!! Muelimisheni ajue kuwa kuendesha hizo ndege ni gharama kubwa sana tena kwa fedha za kigeni!! Unatuongezea mzigo because of ignorance!!
 
Google imewafanya watu wawe wajinga sana eeh!
 
Hii haipo unapopiga faida ya ndege kwa kuwa zimekabidhiwa ATCL hatuwezi kuzipigia hesabu .

Basi Kama ndio hivyo nami kwenye faida ya biashara zangu nitaiweka Kama indirect profit, ukienda mashuleni nayo tunaweka ndege Kama indirect profit, mahospitali nk. This is madness πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Yani nikipiga hesabu za profit zangu pale kwenye ka-law firm kangu naiweka na ndege za ATCL Kama sehemu ya profit, hahaha we jamaa yangu achana na haya maneno tufanye ishu nyingine msikilizie spika mpya.
 
Umeelewa lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…