ATCL na TRC ni suala la Muda tu kurudi tulikotoka

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu!

Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu!

ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR to DUBAI (Hapa utaamua wewe upande au usipande kwasababu ndege si za baba yako, ukitaka cheap nunua yako)

ATCL Ku-Cancel safari na kupotezea wateja muda bila sababu ya Msingi kwao ni jambo la kawaida, na kwakuwa wateja wao ni mazumbukuku wala hata siyo shida zao, wao wanaendelea kula kitimoto makange na juisi ya pweza huku wakitikisa miguu juu ya mabawa ya AH - 107 BOEING 777

ATCL kuwa na Customer service mbovu kwao ni suala la kawaida, hawajali na suala la kujali wamekuachia wewe mteja mwenye kiherehere cha kujipendekeza kwao usiyekuwa na chochote cha kufanya!

ATCL kuwa na ndege chakavu ambazo tumeambiwa zimenunuliwa juzi tu kwao wala hawajali, ndege za serikali tena, utawaambia nini! Wanaringa haoooo utadhani wamevaa kandambili mpya!

ATCL kumpa Rais Vasco de Mwewe ndege zao huku abiria wakipitia msoto kwao ni suala la kawaida,utawaambia nini wakati ni Vitinda mimba,wanadeka haoooo!

NI SUALA LA MUDA TU na BILA SHAKA 2030 NI MBALI MNOOOOO!

TRC wao juzi wameanza kwa mbwembwe kwelikweli, mimi kwakuwa nina akili timamu nikawa najisemea kimoyo moyo "Ndo yale yaleeeeeee"

TRC Hivi sasa zile Tikiti (Ticket) hazi-scan kwenye Mashine,nao wamekuja na ubunifu wa kuchana tikiti (Ticket) kama ubunifu wa mradi wa ma-bus ya Mwendokasi,Jamaa niwabunifu kishenzi na nadhani nao wanataka sifa ya kuandikwa kwenye kitabu cha CAG cha kila mwaka cha Ubunifu anapokuwa anasoma ripoti ya wabunifu bora wa Taifa!,Aiseeee jamaa ni wabunifu kinyamaaaaa (In Chugastan Vibe Voice)

TRC Hivi sasa kupoteza muda kwao ni kawaida,watanzania walidhani kwakuwa wao ni wapya wakadhani wataenda na muda ili kuwateka wabongo waachane na ma-bus,jamaa kwenye suala la kupoteza muda wamekuja kwa kasi na nadhani ni wabunifu kutoka idara ya masoko,hapa wamebuni mbwinu baaaaab kubwa na hii itawalipa!

TRC Hivi sasa (Inasemekana) pesa zinaingia kwenye Akaunti ya Mtu Binafsi siyo Serikali,Aiseee hapa naona kama wameupiga mwingi na shirika litapata mapato ambayo yatachochea ukuaji wake na Serikali kunufaika kwa ujumla!

TRC Hivi sasa siti moja mnakatiwa watu wawili kama kwenye Bus za mikoani (Hii siyo bahati mbaya),Haya yote yanafanywa na wajinga wanaojiita "WASOMI"

TRC Hawa kama wameshindwa kusimamia Treni za Kaskazini zilizofufuliwa na Hayati Konyagi Je,wataweza kweli?

YAANI NI SUALA LA MUDA TU,TUUUPE MUDA MUDA!

Nasikia ndugu zangu wa Upande wa Pili hivi sasa mnavushwa kwa Mitumbwi ya Wavuvi,Teh teh teh teh teh teh teh teh!

Kwani Vile Vi-Vu-Ko vimekufa?Angalieni msije mkavushwa na Mitumbwi ya Vibwengo mkaishia Ubwengoni!

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh!
 
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao,Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu!

Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu!

ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR to DUBAI (Hapa utaamua wewe upande au usipande kwasababu ndege si za baba yako,ukitaka cheap nunua yako)

ATCL Ku-Cancel safari na kupotezea wateja muda bila sababu ya Msingi kwao ni jambo la kawaida

ATCL kuwa na Customer service mbovu kwao ni suala la kawaida,hawajali na suala la kujali wamekuachia wewe mteja mwenye kiherehere cha kujipendekeza kwao!

ATCL kuwa na ndege chakavu ambazo tumeambiwa zimenunuliwa juzi tu kwao wala hawajali,ndege za serikali tena,utawaambia nini!,wanaringa haoooo!

ATCL kumpa Rais Vasco de Mwewe ndege zao huku abiria wakipitia msoto kwao ni suala la kawaida,utawaambia nini wakati ni Vitinda mimba,wanadeka haoooo!

NI SUALA LA MUDA TU na BILA SHAKA 2030 NI MBALI MNOOOOO!

TRC wao juzi wameanza kwa mbwembwe kwelikweli,mimi kwakuwa nina akili timamu nikawa najisemea kimoyo moyo "Ndo yale yaleeeeeee"

TRC Hivi sasa zile Tikiti (Ticket) hazi-scan kwenye Mashine,nao wamekuja na ubunifu wa kuchana tikiti (Ticket) kama kwenye Mwendokasi,Jamaa niwabunifu kishenzi!

TRC Hivi sasa kupoteza muda kwao ni kawaida,watanzania walidhani kwakuwa wao ni wapya wakadhani wataenda na muda ili kuwateka wabongo waachane na ma-bus,jamaa kwenye suala la kupoteza muda wamekuja kwa kasi na nadhani ni wabunifu kutoka idara ya masoko,hapa wamebuni mbwinu baaaaab kubwa na hii itawalipa!

TRC Hivi sasa (Inasemekana) pesa zinaingia kwenye Akaunti ya Mtu siyo Serikali,Aiseee hapa naona kama wameupiga mwingi na shirika litapata mapato ambayo yatachochea ukuaji na Serikali kunufaika!

TRC Hivi sasa siti moja mnakatiwa watu wawili kama kwenye Bus za mikoani (Hii siyo bahati mbaya),Haya yote yanafanywa na wajinga wanaojiita "WASOMI"

TRC Hawa kama wameshindwa kusimamia Treni za Kaskazini zilizofufuliwa na Hayati Konyagi Je,wataweza kweli?

YAANI NI SUALA LA MUDA TU,TUUUPE MUDA MUDA!

Nasikia ndugu zangu wa Upande wa Pili hivi sasa mnavushwa kwa Mitumbwi ya Wavuvi,Teh teh teh teh teh teh teh teh!

Kwani Vile Vi-Vu-Ko vimekufa?Angalieni msije mkavushwa na Mitumbwi ya Vibwengo mkaishia Ubwengoni!

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh!
i[emoji23][emoji23][emoji23]
 
wametepeta hata wiki moja haijakamilika maanina , mimi nilivyoona wanawataja sijui GSM sijui Bakhresa kwenye mambo serious ya nchi kama SGR nikajua ohooooooo yale yale ya mwendokasi, kimsingi watanzania tumerogwa na aliyeturoga ameshakufa.
 
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu!

Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu!

ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR to DUBAI (Hapa utaamua wewe upande au usipande kwasababu ndege si za baba yako, ukitaka cheap nunua yako)

ATCL Ku-Cancel safari na kupotezea wateja muda bila sababu ya Msingi kwao ni jambo la kawaida, na kwakuwa wateja wao ni mazumbukuku wala hata siyo shida zao, wao wanaendelea kula kitimoto makange na juisi ya pweza huku wakitikisa miguu juu ya mabawa ya AH - 107 BOEING 777

ATCL kuwa na Customer service mbovu kwao ni suala la kawaida, hawajali na suala la kujali wamekuachia wewe mteja mwenye kiherehere cha kujipendekeza kwao usiyekuwa na chochote cha kufanya!

ATCL kuwa na ndege chakavu ambazo tumeambiwa zimenunuliwa juzi tu kwao wala hawajali, ndege za serikali tena, utawaambia nini! Wanaringa haoooo utadhani wamevaa kandambili mpya!

ATCL kumpa Rais Vasco de Mwewe ndege zao huku abiria wakipitia msoto kwao ni suala la kawaida,utawaambia nini wakati ni Vitinda mimba,wanadeka haoooo!

NI SUALA LA MUDA TU na BILA SHAKA 2030 NI MBALI MNOOOOO!

TRC wao juzi wameanza kwa mbwembwe kwelikweli, mimi kwakuwa nina akili timamu nikawa najisemea kimoyo moyo "Ndo yale yaleeeeeee"

TRC Hivi sasa zile Tikiti (Ticket) hazi-scan kwenye Mashine,nao wamekuja na ubunifu wa kuchana tikiti (Ticket) kama ubunifu wa mradi wa ma-bus ya Mwendokasi,Jamaa niwabunifu kishenzi na nadhani nao wanataka sifa ya kuandikwa kwenye kitabu cha CAG cha kila mwaka cha Ubunifu anapokuwa anasoma ripoti ya wabunifu bora wa Taifa!,Aiseeee jamaa ni wabunifu kinyamaaaaa (In Chugastan Vibe Voice)

TRC Hivi sasa kupoteza muda kwao ni kawaida,watanzania walidhani kwakuwa wao ni wapya wakadhani wataenda na muda ili kuwateka wabongo waachane na ma-bus,jamaa kwenye suala la kupoteza muda wamekuja kwa kasi na nadhani ni wabunifu kutoka idara ya masoko,hapa wamebuni mbwinu baaaaab kubwa na hii itawalipa!

TRC Hivi sasa (Inasemekana) pesa zinaingia kwenye Akaunti ya Mtu Binafsi siyo Serikali,Aiseee hapa naona kama wameupiga mwingi na shirika litapata mapato ambayo yatachochea ukuaji wake na Serikali kunufaika kwa ujumla!

TRC Hivi sasa siti moja mnakatiwa watu wawili kama kwenye Bus za mikoani (Hii siyo bahati mbaya),Haya yote yanafanywa na wajinga wanaojiita "WASOMI"

TRC Hawa kama wameshindwa kusimamia Treni za Kaskazini zilizofufuliwa na Hayati Konyagi Je,wataweza kweli?

YAANI NI SUALA LA MUDA TU,TUUUPE MUDA MUDA!

Nasikia ndugu zangu wa Upande wa Pili hivi sasa mnavushwa kwa Mitumbwi ya Wavuvi,Teh teh teh teh teh teh teh teh!

Kwani Vile Vi-Vu-Ko vimekufa?Angalieni msije mkavushwa na Mitumbwi ya Vibwengo mkaishia Ubwengoni!

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh!
Mbona mnaongelea ATCL na TRC mmeisahau taasisi inayochukia wananchi wake inaitwa CCM
 
wametepeta hata wiki moja haijakamilika maanina , mimi nilivyoona wanawataja sijui GSM sijui Bakhresa kwenye mambo serious ya nchi kama SGR nikajua ohooooooo yale yale ya mwendokasi, kimsingi watanzania tumerogwa na aliyeturoga ameshakufa.
Pia roho mbaya matokeo yake mnakosa wote
 
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu!

Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu!

ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR to DUBAI (Hapa utaamua wewe upande au usipande kwasababu ndege si za baba yako, ukitaka cheap nunua yako)

ATCL Ku-Cancel safari na kupotezea wateja muda bila sababu ya Msingi kwao ni jambo la kawaida, na kwakuwa wateja wao ni mazumbukuku wala hata siyo shida zao, wao wanaendelea kula kitimoto makange na juisi ya pweza huku wakitikisa miguu juu ya mabawa ya AH - 107 BOEING 777

ATCL kuwa na Customer service mbovu kwao ni suala la kawaida, hawajali na suala la kujali wamekuachia wewe mteja mwenye kiherehere cha kujipendekeza kwao usiyekuwa na chochote cha kufanya!

ATCL kuwa na ndege chakavu ambazo tumeambiwa zimenunuliwa juzi tu kwao wala hawajali, ndege za serikali tena, utawaambia nini! Wanaringa haoooo utadhani wamevaa kandambili mpya!

ATCL kumpa Rais Vasco de Mwewe ndege zao huku abiria wakipitia msoto kwao ni suala la kawaida,utawaambia nini wakati ni Vitinda mimba,wanadeka haoooo!

NI SUALA LA MUDA TU na BILA SHAKA 2030 NI MBALI MNOOOOO!

TRC wao juzi wameanza kwa mbwembwe kwelikweli, mimi kwakuwa nina akili timamu nikawa najisemea kimoyo moyo "Ndo yale yaleeeeeee"

TRC Hivi sasa zile Tikiti (Ticket) hazi-scan kwenye Mashine,nao wamekuja na ubunifu wa kuchana tikiti (Ticket) kama ubunifu wa mradi wa ma-bus ya Mwendokasi,Jamaa niwabunifu kishenzi na nadhani nao wanataka sifa ya kuandikwa kwenye kitabu cha CAG cha kila mwaka cha Ubunifu anapokuwa anasoma ripoti ya wabunifu bora wa Taifa!,Aiseeee jamaa ni wabunifu kinyamaaaaa (In Chugastan Vibe Voice)

TRC Hivi sasa kupoteza muda kwao ni kawaida,watanzania walidhani kwakuwa wao ni wapya wakadhani wataenda na muda ili kuwateka wabongo waachane na ma-bus,jamaa kwenye suala la kupoteza muda wamekuja kwa kasi na nadhani ni wabunifu kutoka idara ya masoko,hapa wamebuni mbwinu baaaaab kubwa na hii itawalipa!

TRC Hivi sasa (Inasemekana) pesa zinaingia kwenye Akaunti ya Mtu Binafsi siyo Serikali,Aiseee hapa naona kama wameupiga mwingi na shirika litapata mapato ambayo yatachochea ukuaji wake na Serikali kunufaika kwa ujumla!

TRC Hivi sasa siti moja mnakatiwa watu wawili kama kwenye Bus za mikoani (Hii siyo bahati mbaya),Haya yote yanafanywa na wajinga wanaojiita "WASOMI"

TRC Hawa kama wameshindwa kusimamia Treni za Kaskazini zilizofufuliwa na Hayati Konyagi Je,wataweza kweli?

YAANI NI SUALA LA MUDA TU,TUUUPE MUDA MUDA!

Nasikia ndugu zangu wa Upande wa Pili hivi sasa mnavushwa kwa Mitumbwi ya Wavuvi,Teh teh teh teh teh teh teh teh!

Kwani Vile Vi-Vu-Ko vimekufa?Angalieni msije mkavushwa na Mitumbwi ya Vibwengo mkaishia Ubwengoni!

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh!
siku za jumatatu, jumanne, ijumaa, jumamosi na jumapili kupata ticket ya SGR kati ya dsm to Dodoma ni ngumu, zinakuwa zimejaa siku mbili kabla, kama watu wanajaa hivi, nini kitaifanya ishindwe kuendelea? hata wakiongeza nauli itajaa hivyo hivyo.
 
Umefikisha ujumbe mkali ila kwa njia ya kufurahisha.Tanzania sometime unajizima data tu ukisema ufatilie mambo ya serikali unaweza jikuta unavaa bomu na kua muasi🤣🤣🤣
 
Hakunaga mashirika yanayofanikiwa yakiwa chini ya usimamizi wa serekali. Hii ni kote duniani. Kunapaswa kuwa na private management
 
Mnavyoshangaa maandamano ya Kenya kupigania maslahi ya Taifa lao, Wakenya nao wanawashangaa ambavyo hamuandamani kupigania Maslahi ya Taifa lenu!

Hayo Mashirika mawili kuzikwa au kujizika ni suala la Muda tu!

ATCL kutoka Dar to Mpanda ni Tsh 700,000/= ambayo kiuhalisia ni sawa na nauli ya DAR to DUBAI (Hapa utaamua wewe upande au usipande kwasababu ndege si za baba yako, ukitaka cheap nunua yako)

ATCL Ku-Cancel safari na kupotezea wateja muda bila sababu ya Msingi kwao ni jambo la kawaida, na kwakuwa wateja wao ni mazumbukuku wala hata siyo shida zao, wao wanaendelea kula kitimoto makange na juisi ya pweza huku wakitikisa miguu juu ya mabawa ya AH - 107 BOEING 777

ATCL kuwa na Customer service mbovu kwao ni suala la kawaida, hawajali na suala la kujali wamekuachia wewe mteja mwenye kiherehere cha kujipendekeza kwao usiyekuwa na chochote cha kufanya!

ATCL kuwa na ndege chakavu ambazo tumeambiwa zimenunuliwa juzi tu kwao wala hawajali, ndege za serikali tena, utawaambia nini! Wanaringa haoooo utadhani wamevaa kandambili mpya!

ATCL kumpa Rais Vasco de Mwewe ndege zao huku abiria wakipitia msoto kwao ni suala la kawaida,utawaambia nini wakati ni Vitinda mimba,wanadeka haoooo!

NI SUALA LA MUDA TU na BILA SHAKA 2030 NI MBALI MNOOOOO!

TRC wao juzi wameanza kwa mbwembwe kwelikweli, mimi kwakuwa nina akili timamu nikawa najisemea kimoyo moyo "Ndo yale yaleeeeeee"

TRC Hivi sasa zile Tikiti (Ticket) hazi-scan kwenye Mashine,nao wamekuja na ubunifu wa kuchana tikiti (Ticket) kama ubunifu wa mradi wa ma-bus ya Mwendokasi,Jamaa niwabunifu kishenzi na nadhani nao wanataka sifa ya kuandikwa kwenye kitabu cha CAG cha kila mwaka cha Ubunifu anapokuwa anasoma ripoti ya wabunifu bora wa Taifa!,Aiseeee jamaa ni wabunifu kinyamaaaaa (In Chugastan Vibe Voice)

TRC Hivi sasa kupoteza muda kwao ni kawaida,watanzania walidhani kwakuwa wao ni wapya wakadhani wataenda na muda ili kuwateka wabongo waachane na ma-bus,jamaa kwenye suala la kupoteza muda wamekuja kwa kasi na nadhani ni wabunifu kutoka idara ya masoko,hapa wamebuni mbwinu baaaaab kubwa na hii itawalipa!

TRC Hivi sasa (Inasemekana) pesa zinaingia kwenye Akaunti ya Mtu Binafsi siyo Serikali,Aiseee hapa naona kama wameupiga mwingi na shirika litapata mapato ambayo yatachochea ukuaji wake na Serikali kunufaika kwa ujumla!

TRC Hivi sasa siti moja mnakatiwa watu wawili kama kwenye Bus za mikoani (Hii siyo bahati mbaya),Haya yote yanafanywa na wajinga wanaojiita "WASOMI"

TRC Hawa kama wameshindwa kusimamia Treni za Kaskazini zilizofufuliwa na Hayati Konyagi Je,wataweza kweli?

YAANI NI SUALA LA MUDA TU,TUUUPE MUDA MUDA!

Nasikia ndugu zangu wa Upande wa Pili hivi sasa mnavushwa kwa Mitumbwi ya Wavuvi,Teh teh teh teh teh teh teh teh!

Kwani Vile Vi-Vu-Ko vimekufa?Angalieni msije mkavushwa na Mitumbwi ya Vibwengo mkaishia Ubwengoni!

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh!
Serikali haiwezi kufanya biashara si muda hali ya hayo mashirika itakuwa mbaya sana
 
Walete wakurugenzi wakuu wazungu , wakidai mishahara mikubwa nao waweke performance criteria ili wakifia watapata hayo maslahi uone kazi .

wazungu , wahindi na waarabu sio mchezo kwenye management watafika mbali.
 
Nimepanda Mwendokasi Toka Muhimbili kwenda Mbezi basi limechakaa afadhali hayati Air Tongoi lilokua lina kwenda milima ya Usambara watu wakipanda mpaka juu ya carrier
Mabasi yanaitwa Golden Dragon na TRC punde itafuata mkondo.
 
Back
Top Bottom