Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
ndege yenye ruti yake inaweza kusubiri watu siku 3 hadi wamalize vikao vyao ?Kea mujibu wa flightradar24 kuna ratiba ya ndege kwenda Zanzibar .. hivyo naona ni ratiba tu na sio wala kwamba wanatumia ndege za serikali kwenye mambo yao
😆😆😆Gharama zinalipwa na serikali...
Kwanza kabisa ATCL wanayo route ya Zanzibar.Itakua hamna mkuu
Kama ingekuwepo kusingekua na hoja moja juzi kati hapa
Kua kwanini zenji hawana atcl yao kama nchi?
Nadhani mpaka hapo utakua umenielewa
Sawa nduguinawezekana , na hasa mteja aliyekodi ndege nzima peke yake
Kweli ulikua kilaza..ila nashukuru now umeelimika.Yaani sisi shuleni tulikuwa na mwalimu ambae alitumia salamu hii;
Yeye akisema, UMASIKINI tunaitika NICCM.
Kisha anarudia NICCM sisi tunaitika UMASIKINI.
imenichukua kama miaka 20 kulielewa hili.
MkuuHela ya kununulia ndege wanayo?!
Nchi Yao hii Magufuli Aliipeleka Ndege kwenda MADAGASCAR kuchukua Sijui Nusu Tani ya Dawa Akanywa Yeye na KABUDI
Kweli, hata kwenye website yao unaweza kubook hiyo tiketi ya dar to zenji.Kea mujibu wa flightradar24 kuna ratiba ya ndege kwenda Zanzibar .. hivyo naona ni ratiba tu na sio wala kwamba wanatumia ndege za serikali kwenye mambo yao
ndege ya kukodi ina booking ?Kweli, hata kwenye website yao unaweza kubook hiyo tiketi ya dar to zenji.
Kwa hiyo hoja ya mtoa mada haina mashiko.
Hela ya kulipia umeme hawana, hiyo ya kununua ndege wataiba wapi?!Mkuu
Kumbuka kua wale ni nchi
Hela ya kuanzia bombadia angalau tatu au hata nne hawawezi kukosa kama nchi
Sijajua unaamanisha nini kusema hela wanazo?
Umejuaje wamekodi na sio flight ya kawaida?ndege ya kukodi ina booking ?