ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

Kea mujibu wa flightradar24 kuna ratiba ya ndege kwenda Zanzibar .. hivyo naona ni ratiba tu na sio wala kwamba wanatumia ndege za serikali kwenye mambo yao
ndege yenye ruti yake inaweza kusubiri watu siku 3 hadi wamalize vikao vyao ?
 
Itakua hamna mkuu
Kama ingekuwepo kusingekua na hoja moja juzi kati hapa
Kua kwanini zenji hawana atcl yao kama nchi?
Nadhani mpaka hapo utakua umenielewa
Kwanza kabisa ATCL wanayo route ya Zanzibar.

Pili, hiyo hoja ya kwanini znz hawana ATCL yao ni hoja ya kijinga na ya watu ambao hawana uelewa wa mambo
 
Yaani sisi shuleni tulikuwa na mwalimu ambae alitumia salamu hii;
Yeye akisema, UMASIKINI tunaitika NICCM.
Kisha anarudia NICCM sisi tunaitika UMASIKINI.
imenichukua kama miaka 20 kulielewa hili.
Kweli ulikua kilaza..ila nashukuru now umeelimika.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi Yao hii Magufuli Aliipeleka Ndege kwenda MADAGASCAR kuchukua Sijui Nusu Tani ya Dawa Akanywa Yeye na KABUDI
 
Mbona anatembea kama ndiye ajaye?
 
Nchi Yao hii Magufuli Aliipeleka Ndege kwenda MADAGASCAR kuchukua Sijui Nusu Tani ya Dawa Akanywa Yeye na KABUDI
2393187_20200508_170418.jpg
 
Kea mujibu wa flightradar24 kuna ratiba ya ndege kwenda Zanzibar .. hivyo naona ni ratiba tu na sio wala kwamba wanatumia ndege za serikali kwenye mambo yao
Kweli, hata kwenye website yao unaweza kubook hiyo tiketi ya dar to zenji.
Kwa hiyo hoja ya mtoa mada haina mashiko.
 
Mkuu
Kumbuka kua wale ni nchi
Hela ya kuanzia bombadia angalau tatu au hata nne hawawezi kukosa kama nchi
Sijajua unaamanisha nini kusema hela wanazo?
Hela ya kulipia umeme hawana, hiyo ya kununua ndege wataiba wapi?!
 
ndege ya kukodi ina booking ?
Umejuaje wamekodi na sio flight ya kawaida?
Nadhani mtatoa tuhuma ndio mna burden of proof. Toaeni ushahidi kuwa hizo ni safari za kukodi na kama ni hivyo muwe na ushahidi kwamba hawajafuata taratibu za kukodi hizo ndege wala kulipia.
 
Back
Top Bottom