Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
I really didn't want to get into this but that is the story. Kuna uwezekano mkubwa dege "lenu" lililoanguka huko Mwanza litakuwa written off na kuwa haliweza kutengenezeka tena na hivyo kuongezea matatizo ya ATCL lakini pia kutoa nafasi ya kununua ndege mpya katika mipango ya kujijenga upya.
Habari ndiyo hiyo!
Habari ndiyo hiyo!