ATCL waanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo, Wahamasishaji kupewa zawadi

Hii imekaa poa sana. Na book safari ya mwakani August (Go and Return) na 50k tu. Kufikia August mwakani nitakuwa nimekamilisha na nime weka hela ya kutumia huko safarini
 
“Tunakwenda kwa baadhi ya nchi kama Burundi”

Maneno kama haya yanamtoka mtaalamu wetu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…