ATCL yaanza kukata tiketi kwenda India

ATCL yaanza kukata tiketi kwenda India

Ni kweli kabisa, Lakini hiyo siku nitakayo pata nafasi sitofanya makosa kabisa aisee
Wewe ni aina ya kijana alieoa mke kwa utashi wake lakini anampenda zaidi mke wa jirani yake.

Comments na post Kama zako kamwe haziwezi kukufanya uonekane mstaarabu ktk jamii yako.

Nenda Sasa huko Qutar ukapate/ukadai huduma Bora za jamii.
 
Usiumie sana mkuu, ni choice yangu tu
 
Usiumie sana mkuu, ni choice yangu tu
Vzr umenielewa. Choice yako ni mbaya na haikupi heshma mbele ya jamii. Wakati mwingine better to remain silent if you have nothing to share than forcing yourself to comment pointless.
 
Vzr umenielewa. Choice yako ni mbaya na haikupi heshma mbele ya jamii. Wakati mwingine better to remain silent if you have nothing to share than forcing yourself to comment pointless.

Huwezi nilazimisha kutumia kitu kisicho na ubora
 
Aiseee nauli iko vizuri natumai wengi watapendezwa na huduma ili wawe wateja wa kujirudia
Halafu mwisho wa siku tunalalamika kuwa shirika linajiendesha kwa hasara
 
Huwezi nilazimisha kutumia kitu kisicho na ubora
Upande ATCL au ukose, shirika linaendeshwa kwa kodi yako..usifikirie unaumiza ATCL, usipopanda serikali itaendelea kuongeza ada za airport kwa mashirika mengine na utalipa tu kwa ticket
 
Upande ATCL au ukose, shirika linaendeshwa kwa kodi yako..usifikirie unaumiza ATCL, usipopanda serikali itaendelea kuongeza ada za airport kwa mashirika mengine na utalipa tu kwa ticket

Ni muda tu kabla hatujalizika tena hilo shirika
 
Kwenda kurudi sauzi laki 7, dar-mbeya mnatugonga mpaka laki 6 one-way
 
Hii ni habari nzuri...tunasubiri IPAE tu
Kweli ngoja ipae ilikuwa ipae September, November, February, April, June sasa July mwaka mmoja toka iwasili na kupokewa kwa mbwembwe. Safari njema!

Lipia halafu safari inakuwa cancelled, sasa kudai hela yako hapo! Utaambiwa hela yote ishaenda kulipia deni la matibabu ya Ndugai.
 
Back
Top Bottom