Shirika la ndege la Urusi inatumia Boeing na Airbus kwa safari za kimataifa, kwa sasa lipo kwenye vikwazo vya Marekani, hawawezi kupata hata parts toka Marekani na Ulaya. Sasa sisi kujifanya marafiki wa Urusi, tunaweza kuishia kwenye vikwazo vya Marekani, halafu gukabakia na ndege kama mapambo. Kuna maamuzi haifakiwi kufanya kwa pupa.
Major airlines from the US, UK, EU, and Canada have suspended all flights and banned Russian carriers from their airspace. This includes airlines like British Airways, Air France, Lufthansa, KLM, United Airlines, Delta, and Air Canada.
Kwa sababu Airbus na Boeing wameiwekea vikwazo Urusi, sasa hivi mashirika ta ndege ya Urusi yanategemea parts kutoka kwente ndege za zamani zilizoharibika. Sasa kama mtu una akili timamu utakubali upande ndege ambazo zinategemea parts za ndege ziluzoharibika za zamani? Anga lenyewe la Urusi, si salama. Drones na makombora kila siku, halafu utoke hapa uende Urusi!! Wewe itakuwa una akili?
Aircraft Scavenging: To keep their primary Western-manufactured fleets (e.g., Airbus A320s/A350s and Boeing 737s/747s) flying, Russian carriers frequently strip grounded planes for parts. Major carriers like Aeroflot and Rossiya Airlines rely on this strategy.