ATCL yaja na mapinduzi ya kimkakati

ATCL yaja na mapinduzi ya kimkakati

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
*NUKUU*

"Serikali ya awamu ya 5 imefanya uamuzi mgumu wa kulifufua shirika letu la ndege kwa kuamua kununua ndege mpya za kisasa kabisa ambazo zipo kwenye Dunia ya sasa." - Dkt. Hassan Abbas

"Tumeanza kununua ndege mpya 3 za Bombadier ambazo tayari zipo nchini, tunanunua ndege mpya kubwa zaidi aina ya Bombadier C- Series 3 nazo zinakuja mwaka huu." - Dkt. Hassan Abbas

"Tumeagiza ndege mpya kubwa aina ya Boeing Dream Linear yenye uwezo wa kubeba abira zaidi ya 240, yenye uwezo wa kwenda popote pale Duniani." - Dkt. Hassan Abbas

*TAZAMA*
 
Bujibuji kuanza kuuzia ndege zake ATC.
Mshana Jr, hivi hamna uwezekano wa kufanya mapinduzi ya kiteknolojia zile ndege asilia tuzitumie kibiashara mchana kweupeeeee, watu wapande wakiwa Na nguo zao Na mizigo?
 
Nataraji mafanikio haya yangekuwa katika sekta ya KILIMO, MIFUGO na MIUNDOMBINU YA MAJI, maana hivyo ndio kerooo inarithiwa na kuachwa kama ilivyo. Anyway kila msimu una mvua zake na KUPANGA ni KUCHAGUA..sisi tumeamua KUCHAGUA..
 
Pesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.

Labda!
 
Pesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.

Labda!

Pole mkuu, Faida itakayopatikana itanunua meli Ziwa victoria kama ambavyo wafanyakazi wamekuwa wavumilivu kwa kusubiri faida na ufanisi wa miradi mipya nanyi muwe watulivu meli itakuja tu..
 
Pesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.

Labda!
Ninyi warangira hamjazoea kupanda mabasi mmewekewa lami kutoka Mwanza hadi kwenu lakini mnangangania ziwani tuu. Jengeni mazingira ya kudafiri mchana kwa magari ya kisasa muangalie na madhari mazuri Mungu aliyotujalia watanzania
 
Mnadanganyana tu. Wanasuasua akina Eithiopian and Kenyan airline ije kuwa ATCL?
 
Bujibuji kuanza kuuzia ndege zake ATC.
Mshana Jr, hivi hamna uwezekano wa kufanya mapinduzi ya kiteknolojia zile ndege asilia tuzitumie kibiashara mchana kweupeeeee, watu wapande wakiwa Na nguo zao Na mizigo?
Shirika halikuwa na ndege kabla
bali lilikuwa likifanya mchezo wa kukodi na kutangaza hasara kila mwaka
 
Pesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.

Labda!
Hivi kwa bukoba mwanza kweli kuna haja ya kuleta li meli kubwa ?kwani toka usafiri wa barabara umekuwa mzuri ,meli zilikuwa zinaendeshwa kwa hasara kwani nani akubali kulala majini wakati kwa basi ni masaa saba tu amefika??nq nauli nkaribu sawa tu!kipndi serengeti inafanya kazi abiria hata mia hawafiki kwenye meli yenye uwezo wa kubeba abiria karibu ya 400!!pale wangeleta boti kama hizi za azamu bk mwanza masaa manne uone ,wewe utoke bk saa nne usiku ufike mwanza saa 12 asubuhi kesho yake
 
Unaelewa kwanini kuna miundombinu kama reli, unajua ni kwanini SGR inajengwa kutoka dar-Mwanza?

Unajua ni tani nfapi za mazao zinaingia Mwanza kutokea Bukoba kila siku?

Unajua ni sh.ngapi mfanyabiashara analipa ili kusafirisha mzigo wake kutoka Mwanza - Bukoba/ Bukoba - Mwanza?

Nani alikwambia service delivery ya serikali ni kutengeneza faida?
 
Maulana zidi kuibariki nchi yetu Tanzania!
Kila anaye bariki naye atabarikiwa na kila anaye ilaani nchi yetu itabarikiwa na mlaani atalaaniwa!
Huu ndiyo urithi wa watanzania!
Tulinde vinywa vyetu!
I do believe in positive thinking and miracles do happen walahi!
Believe!
 
Unaelewa kwanini kuna miundombinu kama reli, unajua ni kwanini SGR inajengwa kutoka dar-Mwanza?

Unajua ni tani nfapi za mazao zinaingia Mwanza kutokea Bukoba kila siku?
Kwani meli ndogo za mizigo hazipo kwa sasa??Mimi ninachoongelea hapa ni jiwe liliposema kuna meli utapelekwa yenye uwezo wa kubeba abiria 1000!!kweli Bk kuna mahitaji ya meli yenye ukubwa huo??Na kwa sasa kuna bidhaa gani ambazo zinahitaji meli kubwa ya mizigo kutokwa Bk to mza??

Unajua ni sh.ngapi mfanyabiashara analipa ili kusafirisha mzigo wake kutoka Mwanza - Bukoba/ Bukoba - Mwanza?

Nani alikwambia service delivery ya serikali ni kutengeneza faida?
 
Back
Top Bottom