Pesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.
Labda!
hutaki wengi wapande ndugu?Kinachonikira nauli za ATCL zipo Chini sana.
Ninyi warangira hamjazoea kupanda mabasi mmewekewa lami kutoka Mwanza hadi kwenu lakini mnangangania ziwani tuu. Jengeni mazingira ya kudafiri mchana kwa magari ya kisasa muangalie na madhari mazuri Mungu aliyotujalia watanzaniaPesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.
Labda!
Shirika halikuwa na ndege kabla
Hivi kwa bukoba mwanza kweli kuna haja ya kuleta li meli kubwa ?kwani toka usafiri wa barabara umekuwa mzuri ,meli zilikuwa zinaendeshwa kwa hasara kwani nani akubali kulala majini wakati kwa basi ni masaa saba tu amefika??nq nauli nkaribu sawa tu!kipndi serengeti inafanya kazi abiria hata mia hawafiki kwenye meli yenye uwezo wa kubeba abiria karibu ya 400!!pale wangeleta boti kama hizi za azamu bk mwanza masaa manne uone ,wewe utoke bk saa nne usiku ufike mwanza saa 12 asubuhi kesho yakePesa za kununulia ndege mpya 6 zipo ila pesa ya kununulia meli mpya ziwa Victoria inaokotezwa na mikataba inaingiwa vibaya.
Labda!
Unaelewa kwanini kuna miundombinu kama reli, unajua ni kwanini SGR inajengwa kutoka dar-Mwanza?Hivi kwa bukoba mwanza kweli kuna haja ya kuleta li meli kubwa ?kwani toka usafiri wa barabara umekuwa mzuri ,meli zilikuwa zinaendeshwa kwa hasara kwani nani akubali kulala majini wakati kwa basi ni masaa saba tu amefika??nq nauli nkaribu sawa tu!kipndi serengeti inafanya kazi abiria hata mia hawafiki kwenye meli yenye uwezo wa kubeba abiria karibu ya 400!!pale wangeleta boti kama hizi za azamu bk mwanza masaa manne uone ,wewe utoke bk saa nne usiku ufike mwanza saa 12 asubuhi kesho yake
Huyo anasifiahutaki wengi wapande ndugu?
Unaelewa kwanini kuna miundombinu kama reli, unajua ni kwanini SGR inajengwa kutoka dar-Mwanza?
Unajua ni tani nfapi za mazao zinaingia Mwanza kutokea Bukoba kila siku?
Kwani meli ndogo za mizigo hazipo kwa sasa??Mimi ninachoongelea hapa ni jiwe liliposema kuna meli utapelekwa yenye uwezo wa kubeba abiria 1000!!kweli Bk kuna mahitaji ya meli yenye ukubwa huo??Na kwa sasa kuna bidhaa gani ambazo zinahitaji meli kubwa ya mizigo kutokwa Bk to mza??
Unajua ni sh.ngapi mfanyabiashara analipa ili kusafirisha mzigo wake kutoka Mwanza - Bukoba/ Bukoba - Mwanza?
Nani alikwambia service delivery ya serikali ni kutengeneza faida?
Msiwajaze wachagga lasivyo shirika linafirisika kama mashirika mengineoKila la kheri ATCL.