jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Apr 30, 2017 #1 Bombardier zitakuwa zinatoa huduma ya usafiri Dar-Mtwara. Uzinduzi wa Safari umefanyika leo kwenye uwanja wa Mtwara. Serikali inatarajia kukarabati miundo mbinu ya uwanja kwa kiasi cha bilioni 10. HAPA KAZI TU
Bombardier zitakuwa zinatoa huduma ya usafiri Dar-Mtwara. Uzinduzi wa Safari umefanyika leo kwenye uwanja wa Mtwara. Serikali inatarajia kukarabati miundo mbinu ya uwanja kwa kiasi cha bilioni 10. HAPA KAZI TU
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Apr 30, 2017 #2 Ikianza Dar-Chato unishtue
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Apr 30, 2017 Thread starter #3 Mwifwa said: Ikianza Dar-Chato unishtue Click to expand... Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda
Mwifwa said: Ikianza Dar-Chato unishtue Click to expand... Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Apr 30, 2017 #4 jingalao said: Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda Click to expand... Ile MV-magogoni pia imelindwa na Mungu?
jingalao said: Team Mange mnaziombea ajali lakini Mungu anazilinda Click to expand... Ile MV-magogoni pia imelindwa na Mungu?
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 May 1, 2017 #5 Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 May 1, 2017 #6 mazina said: Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza Click to expand... Buti la zungu zinakuja tupu deile!!!
mazina said: Hawa wamakonde wameshindwa kuzijaza bus za machinga na majinjah,Je ndege wataweza kuzijaza Click to expand... Buti la zungu zinakuja tupu deile!!!