Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesaini makubaliano na kampuni ya Boeing yatakayowezesha ndege zake aina ya 737-9 na 787-8 kutumia huduma ya Fleet Link, hatua itakayosaidia kupata taarifa za uendeshaji wa ndege kwa wakati halisi, kurahisisha matengenezo, kupunguza gharama za usimamizi na kuboresha ufanisi wa mifumo ya ndege.