ATCL Yasaini Mkataba na Boeing Kuboresha Usimamizi wa Ndege

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limesaini makubaliano na kampuni ya Boeing yatakayowezesha ndege zake aina ya 737-9 na 787-8 kutumia huduma ya Fleet Link, hatua itakayosaidia kupata taarifa za uendeshaji wa ndege kwa wakati halisi, kurahisisha matengenezo, kupunguza gharama za usimamizi na kuboresha ufanisi wa mifumo ya ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…