Kumbuka ndege hizi ni tangu 2017 na kumekuwa na hasara zaidi ya billioni 500 tangu hapo hayo mambo ya kubreak even hata kuyaota bado. Tunaambiwa kuna madeni kibao na bado uwezo wa ATCL kujiendesha yenyewe bila ruzuku ni 97% tu hiyo nyingine 3% inatoka wapi! ATCL ni mzigo mzito kwa wananchi! Akina Magufuli wanajua walifaidika vipi na ununuzi wa madege hayo.Kwa maana hiyo wamezalisha ziada ya zaidi ya bilioni 170 ili ku break even then wameanza kupata faida na kilipa Kodi na gawio kwa muda mfupi huu[emoji123]
This is too god to be true!!
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app