Kumbuka ndege hizi ni tangu 2017 na kumekuwa na hasara zaidi ya billioni 500 tangu hapo hayo mambo ya kubreak even hata kuyaota bado. Tunaambiwa kuna madeni kibao na bado uwezo wa ATCL kujiendesha yenyewe bila ruzuku ni 97% tu hiyo nyingine 3% inatoka wapi! ATCL ni mzigo mzito kwa wananchi! Akina Magufuli wanajua walifaidika vipi na ununuzi wa madege hayo.Kwa maana hiyo wamezalisha ziada ya zaidi ya bilioni 170 ili ku break even then wameanza kupata faida na kilipa Kodi na gawio kwa muda mfupi huu[emoji123]
This is too god to be true!!
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Wee sikia acha mambo mengi, kama malori 40 yanaingiza 1.5 b kwa mwezi profit kweli ni halali midege 12 kati yake zipo Airbus na Dreamliners kuingiza kiasi hicho hicho? Kweli?Mtaalamu wa mambo ya anga achana na malori au nayo huwa yanaruka angani, nahitaji uchambuzi wako katika anga maana umebobea huko.
Hebu hiyo 150 billion unaweza kutupatia breakdown yake kwa 12 fleets inavyoweza kutengenezwa.
Natanguliza shukrani Mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndege zaidi ya 12 faida billion 1.5 hata mabasi ya Abood yanawazidi ATCL!
Bora ingekuwa hivyo kama kweli faida hii ingekuwa ni kweli basi ningeshukuru (sababu kuna faida nyingine zinaweza kupatika ambazo sio monetary)...Ndege zaidi ya 12 faida billion 1.5 hata mabasi ya Abood yanawazidi ATCL!
ππππWee sikia acha mambo mengi, kama malori 40 yanaingiza 1.5 b kwa mwezi profit kweli ni halali midege 12 kati yake zipo Airbus na Dreamliners kuingiza kiasi hicho hicho? Kweli?
Narudia tena wewe ni mtaalamu wa anga malori hayaruki hewani, hebu tupe uchambuzi katika anga mambo yapoje kutengeneza hiyo Profit ya 150bn, samahani kwakukusumbua Mtaalam ni katika kutafuta elimu tuu na ujuzi wako katika masuala ya anga.Wee sikia acha mambo mengi, kama malori 40 yanaingiza 1.5 b kwa mwezi profit kweli ni halali midege 12 kati yake zipo Airbus na Dreamliners kuingiza kiasi hicho hicho? Kweli?
Ya dodomaNi ya kichina au ya kizungu ?