johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo nyumba yenu ya kijani haina mwenye nafuu, wote wagonjwa wa akili.Hawa wapuuzi kila siku matengenezo makubwa
USSR
1. Hawakujua kuwa muda huo watepeleka karakana?Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu
ATCL yani hamna ratiba kwamba marekebisho ni lini ndani ya mwaka mzima ,hatari hiiMsemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
Ndege zote ni za serikali bwashee!1. Hawakujua kuwa muda huo watepeleka karakana?
2. Kwanini wanuza tiketi ilhal wanajua hapatakuwa na ndege?
3. Ile airbus imenunuliwa na Ikulu rasmi?
Na kwanini rais atumie airbus wakati kuna ndegevya rais?
ANY TIME CANCELLED LIMITED (ATCL) is back!!Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
Njia ya muongo ni fupi! Waache wademke!1. Hawakujua kuwa muda huo watepeleka karakana?
2. Kwanini wanuza tiketi ilhal wanajua hapatakuwa na ndege?
3. Ile airbus imenunuliwa na Ikulu rasmi?
Na kwanini rais atumie airbus wakati kuna ndegevya rais?
Waongo hawa, ni poor management, kama ndege zote ziko service kwanini wakate tiketi?! Ni akili ya kiccm tu wanademka!Hizo ndege huwa zinaagizwa moja baada ya mwaka mmoja, sijawahi kuona ndege tatu zimeagizwa kwa pamoja.
Kama walijua muda wa matengenezo unakaribia kwanini wasingepeleka baadhi huku nyingine zikiendelea na schedule? Wao wanasubiri muda ufike wapeleke zote kwa pamoja.
Hiyo kampuni itafutwe management yenye akili iiendeshe, hata kama ikibidi waajiriwe watu toka nje, vinginevyo hasara hapo hazitaepukika, waliopo wanajua kilipana posho tu.
Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
Tulipokuwa tunanunua mijindege cash kwa mkupuo hatukuwaza kuwa zitaenda kwa mkupuo kwenye matengenezo makubwa? Na hili litajirudia mara kwa mara.Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
Hii ni LAME excuse!!! Kwani zikinunuliwa pamoja lazima ziende matengenezo pamoja? Si service inategemeana na mileage covered au? Au pale inapotokea dharura. Sitashangaa hili shirika kufa any time soon. Naona tayari liko ICU. Sad indeed.Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
Soon zitataga zote..what a big lossHii ni LAME excuse!!! Kwani zikinunuliwa pamoja lazima ziende matengenezo pamoja? Si service inategemeana na mileage covered au? Au pale inapotokea dharura. Sitashangaa hili shirika kufa any time soon. Naona tayari liko ICU. Sad indeed.
Mkuu ni wewe? Hii habari inayotrend ya Taliban inawavuruga hadi sometimes akili zenu zinarudi kichwani kutokea chiniHawa wapuuzi kila siku matengenezo makubwa
USSR
Sema ndege ziko kwenye shughuli za kisiasa, moja mama kajimilikishaMsemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
ATCL=ANY TIME CANCELLATION LIMITED.Ndege zote ni za serikali bwashee!