[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku moja natamani niende pale ATCL makao makuu, nionane na director mkuu, nimkate jicho moja kali kwa sekunde hata 20 hivi halafu nimsonye nakuondoka bila kusema lolote at least nijisikie na mimi nilimuonyesha hasira zangu.
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , sikufanikiwa kutazama Star TV, hivyo hii story sikuiona, ila nadhani kuna slight mistake kwa jina la msemaji wa ATCL, jina sahihi ni Josephat Kagirwa na sio Josephat Mwingira.Msemaji wa ATCL ndugu Josephat Mwingira amesema pamekuwepo na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba za ndege zao takribani wiki mbili sasa kwa sababu ndege nyingi zilikuwa kwenye matengenezo makubwa.
Mwingira amesema nyingi ya ndege zao zilinunuliwa kwa wakati mmoja ndio maana hata matengenezo yake hufanyika pamoja na kamwe ATCL haiwezi kurusha ndege yenye hitilafu.
Mwingira amewataka mawakala wa kuuza tiketi kuweka namba zao za simu na kuchukua namba za wateja ili wawe wanapewa taarifa ya mapema pindi yanapotokea matatizo.
Source: Star tv habari!
Amina mkuu!Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , sikufanikiwa kutazama Star TV, hivyo hii story sikuiona, ila nadhani kuna slight mistake kwa jina la msemaji wa ATCL, jina sahihi ni Josephat Kagirwa na sio Josephat Mwingira.
Ila ATCL ni shirika letu na ndege zake ni ndege zetu, pamoja na changamoto zake zote, tuendelee kulipenda
p
Hilo ka kuuza Tiketi wakati wakijua ndege hakuna, ni wizi na utapeli. Tunahitaji mjuaji mmoja tu aishitaki ATCL mahakama za majuu, ndio watashika adabu yao1. Hawakujua kuwa muda huo watepeleka karakana?
2. Kwanini wanuza tiketi ilhal wanajua hapatakuwa na ndege?
3. Ile airbus imenunuliwa na Ikulu rasmi?
Na kwanini rais atumie airbus wakati kuna ndegevya rais?
Kukosoa haimaanishi kutopenda, na kwa kweli ni kupenda sana. Mama anayemcharaza viboko mwanaye, anampenda sana, na ndio maana anachukua hatua muhimuMkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , sikufanikiwa kutazama Star TV, hivyo hii story sikuiona, ila nadhani kuna slight mistake kwa jina la msemaji wa ATCL, jina sahihi ni Josephat Kagirwa na sio Josephat Mwingira.
Ila ATCL ni shirika letu na ndege zake ni ndege zetu, pamoja na changamoto zake zote, tuendelee kulipenda
p
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , sikufanikiwa kutazama Star TV, hivyo hii story sikuiona, ila nadhani kuna slight mistake kwa jina la msemaji wa ATCL, jina sahihi ni Josephat Kagirwa na sio Josephat Mwingira.
Ila ATCL ni shirika letu na ndege zake ni ndege zetu, pamoja na changamoto zake zote, tuendelee kulipenda
p