Ateba achungwe sana...

Huyu β€œATEBA” wamchunge sana ataua wengi sana msimu huu katika NBC Premier League na hii michuano ya CAFCCL. πŸ™„πŸ“ŒView attachment 3104225
Ni kawaida sana kwa mashabiki wa Simba ndio maana wakaitwa mbumbumbu. Onana alifunga goli mbili dhidi ya Wydad wakaimbishwa wimbo mpya wa kumuona ni bonge la straika na ikafikia hatua hadi kuomba msamaha kwa Onana kwa kumkosoa
 
Uto watapinga hadi liwakute Jambo. Bado wandhani kuna wala rushwa pale simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…