Kwa nini watu wasubiri kupinga?Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
Nafikiri ni wewe ambae hujaelewa, umekurupuka au kwa lugha nyepesi umeropika. Mimi sijatoa maoni nimefanya utabiri wa hali itakavyokuwa ikitokea akarudi tena awamu ijayo. Sijasema kama hicho kitu ni sahihi au la. Nimesema ikitokea atarudi basi atapingwa, nimetoa utabirir wa hali halisi.Kwa nini watu wasubiri kupinga?
Kwa nini iwe bora "kupinga" kuliko kuzuia asiwepo wa kumpinga?
Hizi lugha zisizoeleweka mnazozitumia sijui huwa zinawasaidia kitu gani?
Hao unaowapanga "kupinga" hawana tofauti yoyote na wewe jinsi ulivyowasilisha mada yako hapa. Nyote ni wanafiki tu!
I wish iwe hivyo.Jmni msichoelewa ni nn Samia ni wantam president
Wana ccm wanakuaga wamoja mpaka karibu na uchaguzi.Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
Wala wataogopa sababu uchaguzi mkuuu 2030 yeye atakuwa mwenyekiti wa ccm bado kupanga nani awe raisi ajaye nani agombee ubungeIkitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
Naona UPIGAJI ndio utakuwa mkubwa zaidi.Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
Sasa unapotezea muda watu na "utabiri" wa nini hapa. Huna mambo muhimu ya kufanya kuliko kusumbuka na tabiri zisizokuwa na uhalisia wowote?ikitokea akarudi tena awamu ijayo. Sijasema kama hicho kitu ni sahihi au la. Nimesema ikitokea atarudi basi atapingwa, nimetoa utabirir wa hali halisi.
Haiwezekani.Kwanini??
Watu wataendelea kumpamba ili wajichotee mahelaIkitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
Hilo sio tatizo, me nalia na nuhu tu kwanini aliruhusu kunguni wapande kwenye safina?? 😭😭Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.