DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kijana Musa Said Musa ametumia zaidi ya saa 15 akitembea kutoka kijiji cha Kitanda kilichopo Kata ya Mlingoti Magharibi hadi Nakapanya kumwona na kusikiliza mubashara Sera za Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan alipofanya mkutano mdogo wa Kampeni za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Musa ameeleza kuwa, huu ni mwaka wake wa kwanza kushiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo shauku yake ni kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan anashinda kwa kuwa amekamilisha miradi mingi na kuwaletea wananchi huduma za maendeleo.
=======
Wakati vijana wakipanga mikakati ya maandamano kudai haki zao, ikiwemo mifumo huru ya uchaguzi na mustakabali wa nchi, wengine wanatembea mamia ya kilomita kufuata sera za mgombea wa CCM. Hii inaweza kuwa tafsiri ya kijana asiyewajibika.