Atembea na mkewe bila kujua

Atembea na mkewe bila kujua

HP1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
3,362
Reaction score
878
Jamaa mmoja alikuwa Uarabuni kikazi. Alipokuwa anakaribia kumaliza mkataba wa kazi, huku kwao wakamfanyia utaratibu wa kumpata mwenza. Ndoa ikafanyika akiwakilishwa na mtu mwingine.

Siku iliwadia na jamaa akarudi nchini. Akiwa uwanja wa ndege alikutana na binti ambaye alimvutia. Akarusha maneno yake na hatimaye wakaenda sehemu na kungonoana.

Mshtuko ulimpata pale alipoenda kutambulishwa mkewe na kukuta kuwa yule aliyekuwa amengonoana nae ndiye mkewe, wote wawili wakawa wanatazamana wakiwa na mawazo tele kichwani.

Ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?
 
ngoma drooooo hapo. inabidi iwe siri ya wawili tu
 
Mhhhhhhhh! Hiyo ndiyo hasara ya uasherati.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Movie za kina marehem Kanumba hizi
 
Jamaa mmoja alikuwa Uarabuni kikazi. Alipokuwa anakaribia kumaliza mkataba wa kazi, huku kwao wakamfanyia utaratibu wa kumpata mwenza. Ndoa ikafanyika akiwakilishwa na mtu mwingine.

Siku iliwadia na jamaa akarudi nchini. Akiwa uwanja wa ndege alikutana na binti ambaye alimvutia. Akarusha maneno yake na hatimaye wakaenda sehemu na kungonoana.

Mshtuko ulimpata pale alipoenda kutambulishwa mkewe na kukuta kuwa yule aliyekuwa amengonoana nae ndiye mkewe, wote wawili wakawa wanatazamana wakiwa na mawazo tele kichwani.

Ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?

Mi ningempeleka akakeketwe
 
Kazi ipo
Sasa hapo ndoa inadumu au la
OTIS
 
ndugu huu ni muswada wa filamu ya 3 ya kanumba kabla hajafa!
by ally kayuti
 
Sasa hapo tatizo nini,si umegonga wewe? Mbaya kama angekuwa amegonga swahiba yako tu.mlikuwa hamjuani basi sasa ni mbele kwa mbele.
 
Asante kwa hadithi yako..nzuri kweli
 
  • Thanks
Reactions: Edo
hahahah hapo wote ni wachina tu .. (feki)
 
Hao mbona walikua local kweli...? Kwani hata kama upo uarabuni alikua hatumiwi Picha za mke mtarajiwa?
 
Hapo wote wamekubuhu kwenye Tasnia ya NGONO kinachofuata ni kuuchuna tuu.
 
Maisha ya ndoa yataendelea maana nimekula mimi na sio mtu mwingine; na kwa kuwa nilikubali kutafutiwa mtu ambaye simfahamu tabia yake, nitakubali matokeo yote.
 
Vipi suala la kuaminiana kwenye ndoa yao?
 
Back
Top Bottom