Hakika nimeshangazwa sana na kijana mmoja wa mtaani kwangu (jina kapuni) ambaye ametembea na wake za watu ishirini na sita (26).
Anasema kati ya hao 26, wengi ni waliomzidi umri. Na baadhi ni wake (wives) wa marafiki zake, wengine wamemzidi hali ya kiuchumi.
Kesho Ijumaa saa kumi kamili (16:00 hrs) jioni nitakuja na Uzi ambao utaelezea mambo yafuatayo
1. Sababu za huyu kijana kutembea na wake za watu 26 ambao mpaka sasa hao wake za watu wapo kwenye ndoa zao.
2. Mbinu alizokuwa anatumia kuwarubuni wake za watu.
3. Sababu zilizowafanya wake za watu kumpenda/kumkubali kijana huyo.
NB: Sitoweza kutaja jina, majina, wala sehemu wanazoishi wahusika.
Waja Leo waondoka leo TANGAAAAah bado umekosa nipe mji sasa
Haha from personal experienceBrother 😁 ume research eeeee
Bado nipe mji mwingine kwa watoto wazuri waupe weupe kuleWaja Leo waondoka leo TANGAAA
Kuna brother mmoja hapo juu kasema Kuna KUNDI moja umelisahau.Haha from personal experience
Kizimkazi Zanzibar? Manyara kateshi? Ama Kilimanjaro ☺️Bado nipe mji mwingi kwa watoto wazuri waupe weupe kule
Hapo Manyara Kateshi hapo nachukua na Kilimanjaro 2Kizimkazi Zanzibar? Manyara kateshi? Ama Kilimanjaro ☺️
Nambie/ tuambie brother.Hapo Manyara Kateshi hapo nachukua na Kilimanjaro 2
Sasa unajua hilo kundi linaitwaje?
HahaKuna brother mmoja hapo juu kasema Kuna KUNDI moja umelisahau.
Nimempa mji ngoja alitaje mkuu☺️
Nimeona niweke picha maana maelezo hayatoshi kwa hio hapo utakua ushaelewaNambie/ tuambie brother.
Noma sanaaHaha
Manesi ....unataka niharib industry za watu
Waislamu 😆Nimeona niweke picha maana maelezo hayatoshi kwa hio hapo utakua ushaelewaView attachment 3349788
Aah bado hujapata kabisa nipe mji tuHaha
Manesi ....unataka niharib industry za watu
Sio Waislamu hao ni Sample nimekupaWaislamu 😆
Wao utawasikia "Nina bodaboda wangu"Mkeo muweke mbali na bodaboda
Sawa mkuu umenipa kitendawili.Sio Waislamu hao ni Sample nimekupa
Sasa huyohuyo bodaboda wake huyo ndio anaemsuguagaWao utawasikia "Nina bodaboda wangu"
HujateguaSawa mkuu umenipa kitendawili.