Jamani naomba kuuliza kuna athali kwa uvutaji bangi wa mara chache tu..mimi huwa navutaga bangi nikiwa na metch adimu sana..sasa vipi naweza pata madhara gani?
bangi ile inakutoa dhamani yako mkuu achana nahayo mataka taka.
mazoeya nikitu kibaya sana .ukijizoesha tena ujinga kama huo wakujiwekea msokoto ni mbaya sana yani. unakutoa ubinadamu wakawaida nakuonekana binadamu aliye kengeuka yani waki mwehu mwehu ujinga ujinga