Athali za uvutaji bangi

Athali za uvutaji bangi

sindbari

Senior Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
156
Reaction score
43
Jamani naomba kuuliza kuna athali kwa uvutaji bangi wa mara chache tu..mimi huwa navutaga bangi nikiwa na metch adimu sana..sasa vipi naweza pata madhara gani?
 
Angalia maisha ya Snoop dogy,Marehemu 2pac,Juma nature,Mandojo+domokaya,20 percent,lord eyes..

Alafu pima mwenyewe...
 
bangi ile inakutoa dhamani yako mkuu achana nahayo mataka taka.
mazoeya nikitu kibaya sana .ukijizoesha tena ujinga kama huo wakujiwekea msokoto ni mbaya sana yani. unakutoa ubinadamu wakawaida nakuonekana binadamu aliye kengeuka yani waki mwehu mwehu ujinga ujinga
 
sio kila siku ni mara mojamoja sana
 
Back
Top Bottom