Habari waungwana.
Nimekutana na uzi ukitembea jukwaa flani juu ya mada inayofanana na hii, basi nikaona niulize swali langu linalonitatiza kwa muda mrefu kama linavyosoomeka hapo juu nikiamiani jukwaa la JF Doctor ni kisima cha maarifa kuhusiana na maswala yote yanayohusiana na afya.
Natanguliza shukrani zangu za kabla.
Asanteni.
hususi